Roma, huyu huku anajifua Kung-fu na taekwondo...!!

Roma hivi sasa si wa mchezo mchezo, anajifua ili kujiimarisha kimwili na kiafya, mambo ya judo, karate, kung-fu, taekwondo na tikitaka ndio mpango mzima....

Nimerudi kutoka Zimbabwe...
huu ni uchochezi,sasa tutaenda kukupima mkojo sasa hivi
 
Roma hivi sasa si wa mchezo mchezo, anajifua ili kujiimarisha kimwili na kiafya, mambo ya judo, karate, kung-fu, taekwondo na tikitaka ndio mpango mzima....

Nimerudi kutoka Zimbabwe...

Namuona mzee wa Fashoon
 
Kashtuka Leo, wazee tuwafunze watoto wetu kupambana na nidhamu, siku niliyopigwa roba na vibaka ndio siku nilijua umuhimu wa kujifunza kupigana mtt wangu wanamuogopa shuleni wenzake wakizungua tuu ni karate

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huko ndio zimbabwe au amesharudi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…