Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
huu ni uchochezi,sasa tutaenda kukupima mkojo sasa hivi![]()
![]()
![]()
![]()
Roma hivi sasa si wa mchezo mchezo, anajifua ili kujiimarisha kimwili na kiafya, mambo ya judo, karate, kung-fu, taekwondo na tikitaka ndio mpango mzima....
Nimerudi kutoka Zimbabwe...
Manati ya mzungu ni nouma wakimhitaji tena watamchukua kiulaini tu na hizo karate zakeDuuuh ila mwambie hakuna mbabe mbele ya manati ya mzungu
![]()
![]()
![]()
![]()
Roma hivi sasa si wa mchezo mchezo, anajifua ili kujiimarisha kimwili na kiafya, mambo ya judo, karate, kung-fu, taekwondo na tikitaka ndio mpango mzima....
Nimerudi kutoka Zimbabwe...
umeenda mbali,Duuuh ila mwambie hakuna mbabe mbele ya manati ya mzungu
Kha yule blazameni nae yumoNamuona mzee wa Fashoon
Mwambie aseee tusije kumpoteza tena ndugu yetuM
Manati ya mzungu ni nouma wakimhitaji tena watamchukua kiulaini tu na hizo karate zake