Sawa itakua vyema apate self defenceAkimaliza taekwondo atahamia kwenye manati mkuu...
Ni hatari wale jamaa hawafaiumeenda mbali,
Hata kiwembe tu kinatosha!
Umeeleweka mkuu, ujumbe utamfikia na hata washauri wake waliomshauri kuingia huko bila shaka watakuwa wamempa hints za kutosha, wakufunzi pia watatumia nafasi zao vizuri kumpika...hivyo hatutegemei tukimuona akitupa makonde na taekwondo hovyo hovyo....Mkuu Freyzem,
Watu tulipata nafasi ya kujifunza au kuucheza huu mchezo tutakuambia ya kuwa huu mchezo sio kama watu wengi mnavyouchukulia. Kuna style na aina nyingi sana za martial arts. Na zote misingi mikuu ni nidhamu na heshima. Sio ujifunze kwenda kufanya uhuni na uonevu mitaani. Ndio maana asilimia kubwa ya watu wenye uzoefu na hii michezo ukiwaona kwa macho huwezi hata kuwafikiria ya kwamba ni watu hatari.
Mpe ushauri Roma kama ameamua kuingia huko aingie kwa mtazamo chanya na kwa nia ya kujifunza nidhamu na kujiweka sawa kimwili na kiakili. Sio kwa sababu ya kupambana hovyo na watu.
Mtu anayefahamu kanuni na misingi ya hii michezo mpaka umkute anapigana Ujue yamemfikia shingoni haswaaa na pale tu inapobidi. Otherwise tunaamini katika Amani,Upendo,heshima na nidhamu.
Kila kitu ni timing tu. Unaweza kuwa umebobea ila ukistukizwa tunakusahaumwambieni wanaotumiwa washakata mikanda kibao myeusi na ajue hivyo vitaikwando vyake si kitu mbele zao
Ngw'ana Kabula
Ni kweli kabisa, nakumbuka kuna wakati alienda shule fulani kusalimia/kufundisha/kutoa zawadi. Yaani hizi random events zisizo na uhusiano zinatia shaka afya ya akili ya kijana wetu. Anahitaji ushauri nasaha, asidhani kuficha kile alichofanyiwa ndo ugumu au ujanja. Lazima afunguke ili moyo wake uponywe.Walimharibu akili huyu kijana ona anavyohangaika jamani he is not oky! Psychologists help this man
Mwanaume lazima ujifunze jinsi ya kujitetea,haijalishi wabaya wako wamekuja na nini,You must defend yourself,Unakufa kiumeM
Manati ya mzungu ni nouma wakimhitaji tena watamchukua kiulaini tu na hizo karate zake
Walimtenda vibaya kweli....!!Walimharibu akili huyu kijana ona anavyohangaika jamani he is not oky! Psychologists help this man
Si kweli ni swala LA timing na hesabu manati inakugeuka,Duuuh ila mwambie hakuna mbabe mbele ya manati ya mzungu