Roma, huyu huku anajifua Kung-fu na taekwondo...!!

Roma, huyu huku anajifua Kung-fu na taekwondo...!!

Mkuu Freyzem,
Watu tulipata nafasi ya kujifunza au kuucheza huu mchezo tutakuambia ya kuwa huu mchezo sio kama watu wengi mnavyouchukulia. Kuna style na aina nyingi sana za martial arts. Na zote misingi mikuu ni nidhamu na heshima. Sio ujifunze kwenda kufanya uhuni na uonevu mitaani. Ndio maana asilimia kubwa ya watu wenye uzoefu na hii michezo ukiwaona kwa macho huwezi hata kuwafikiria ya kwamba ni watu hatari.

Mpe ushauri Roma kama ameamua kuingia huko aingie kwa mtazamo chanya na kwa nia ya kujifunza nidhamu na kujiweka sawa kimwili na kiakili. Sio kwa sababu ya kupambana hovyo na watu.
Mtu anayefahamu kanuni na misingi ya hii michezo mpaka umkute anapigana Ujue yamemfikia shingoni haswaaa na pale tu inapobidi. Otherwise tunaamini katika Amani,Upendo,heshima na nidhamu.
 
Umeeleweka mkuu, ujumbe utamfikia na hata washauri wake waliomshauri kuingia huko bila shaka watakuwa wamempa hints za kutosha, wakufunzi pia watatumia nafasi zao vizuri kumpika...hivyo hatutegemei tukimuona akitupa makonde na taekwondo hovyo hovyo....
 
Hahaahhaa......hasa hapo anafanya nn??

Defence ni zaid ya kujua mbinu. Ukijua mbinu huku upo soft, mzito ni bure

Carpe diem.....[emoji187]
 
mwambieni wanaotumiwa washakata mikanda kibao myeusi na ajue hivyo vitaikwando vyake si kitu mbele zao

Ngw'ana Kabula
 
mwambieni wanaotumiwa washakata mikanda kibao myeusi na ajue hivyo vitaikwando vyake si kitu mbele zao

Ngw'ana Kabula
Kila kitu ni timing tu. Unaweza kuwa umebobea ila ukistukizwa tunakusahau
 
N A M U O N A ROMA A K I L I P A Kisasi S I K U moja.

Tumpe muda.
 
Walimharibu akili huyu kijana ona anavyohangaika jamani he is not oky! Psychologists help this man
Ni kweli kabisa, nakumbuka kuna wakati alienda shule fulani kusalimia/kufundisha/kutoa zawadi. Yaani hizi random events zisizo na uhusiano zinatia shaka afya ya akili ya kijana wetu. Anahitaji ushauri nasaha, asidhani kuficha kile alichofanyiwa ndo ugumu au ujanja. Lazima afunguke ili moyo wake uponywe.
 
Kuvaa tuu hizo gee na kupiganazo picha ukuwa dojo haimanishi chochote. Hii michezo unatakiwa umeanza nayo uddogoni na kama ukubwani uwe na nidhamu ya hali ya juu ya mazoezi ya kila siku na sii kisanii kisanii tuu. JIDE aliishia wapi?
 
Walimharibu akili huyu kijana ona anavyohangaika jamani he is not oky! Psychologists help this man
Walimtenda vibaya kweli....!!
As if wamemnyang'anya UANAUME...!

Tai Kwondo dosn't mean anything, its too lata Brother Roma, even if you passed to a Military training, ikubali hali yako....!! Thatz so...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Duuuh ila mwambie hakuna mbabe mbele ya manati ya mzungu
Si kweli ni swala LA timing na hesabu manati inakugeuka,
Usikubali kirahisi kupewa mkong'oto mbele ya familia yako
 
Kuna jamaa yangu anaitwa Masta Imma, alikuwa king of the street. Akilianzishaga vagi mtaa mzima unafungwa!

Siku moja alituhumiwa wizi, jamaa wa suti wakaja kumchukua! Nakumbuka aliruka samasuti moja tu! Ya pili tulisikia yalaaaa kwenye difenda!

Ukiona mwenzako kaja na mabunduki usilete ubishi... Makareti waachie kina Jet li

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom