ROMA: Kutekwa "k" kutafutwa "k" kupigwa "k" eee k ni k hata kupatikana "k".

mr mkiki

JF-Expert Member
Joined
Sep 22, 2016
Posts
5,588
Reaction score
11,668


Serikali ijitokeze na kusema kama wanaomshikilia Roma ni majambazi au vyombo vya serikali.
Wasanii mnapaswa kuwa mbele katika hili.

Ikifika kesho hatujui alipo Roma ni marufuku radio au Tv yoyote kupiga mziki wa msanii wa Tanzania.

Hatuhitaji.

[HASHTAG]#FreeRoma[/HASHTAG].
 
Naogopa kuwa wa kwanza kuchangia......

Kuvamia na Kutowesha imeshakuwa ajira........???
 
Kamuulizeni mke wake sasa serikali inahusika na nini?
 
Ben saa 8 mkawaulize wapangaji wenzake watakua wanajua alipo.
 
Ukiona wao Sirikali wapo kimya kama alivopotea Ben basi hata Roma wanamjua alipo. Unajua fisi akiwa na njaa anawala hata wanawe
 
Media zinahusikaje hapo?
 
Mzee kadanganywa na Kagame aongoze kwa njia hizi tuvumilie tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…