Abraham Lincolnn
JF-Expert Member
- Apr 12, 2018
- 3,189
- 6,140
Kamwe siwezi kwenda kinyume na viongozi wangu wa kiroho, Wamewekwa wakfu ili kusimamia masuala ya Kiroho na Kijamii. Katika Biblia kitabu cha Wafalme tunaona Nabii Eliya akimkemea Mfalme Ahabu na kumueleza kwamba kwa sababu ya ubaya wake, hakungekuwa na mvua katika Israeli.
Kiburi, Jeuri na Ubabe wa CCM kukataa wazi wazi reforms za uchaguzi si tu ni kinyume na haki na miongozo ya Mungu bali ni kuiweka nchi chini ya hatari za kiusalama, Hivyo kushiriki uchaguzi huo ni kwenda kinyume na mpango wa Mungu.
Ninatoa wito kwa watanzania wote wenye nia njema kutokushiriki uchaguzi usiokuwa na baraka za Mungu.