Abraham Lincolnn
JF-Expert Member
- Apr 12, 2018
- 3,189
- 6,140
Naunga mkono hoja.Kamwe siwezi kwenda kinyume na viongozi wangu wa kiroho, Wamewekwa wakfu ili kusimamia masuala ya Kiroho na Kijamii. Katika Biblia kitabu cha Wafalme tunaona Nabii Eliya akimkemea Mfalme Ahabu na kumueleza kwamba kwa sababu ya ubaya wake, hakungekuwa na mvua katika Israeli.
Kiburi, Jeuri na Ubabe wa CCM kukataa wazi wazi reforms za uchaguzi si tu ni kinyume na haki na miongozo ya Mungu bali ni kuiweka nchi chini ya hatari za kiusalama, Hivyo kushiriki uchaguzi huo ni kwenda kinyume na mpango wa Mungu.
Ninatoa wito kwa watanzania wote wenye nia njema kutokushiriki uchaguzi usiokuwa na baraka za Mungu.
Mwaka huu watalinywa.....kama hawataki reform ili washinde peke yao. Basi waendelee tu na uchafuzi wao.kwani i watulazimishe kushiriki?Kamwe siwezi kwenda kinyume na viongozi wangu wa kiroho, Wamewekwa wakfu ili kusimamia masuala ya Kiroho na Kijamii. Katika Biblia kitabu cha Wafalme tunaona Nabii Eliya akimkemea Mfalme Ahabu na kumueleza kwamba kwa sababu ya ubaya wake, hakungekuwa na mvua katika Israeli.
Kiburi, Jeuri na Ubabe wa CCM kukataa wazi wazi reforms za uchaguzi si tu ni kinyume na haki na miongozo ya Mungu bali ni kuiweka nchi chini ya hatari za kiusalama, Hivyo kushiriki uchaguzi huo ni kwenda kinyume na mpango wa Mungu.
Ninatoa wito kwa watanzania wote wenye nia njema kutokushiriki uchaguzi usiokuwa na baraka za Mungu.
Atakuwa na shida kichwaniYaani mtu na akili zake timamu etiuende kusimama foleni unachomwa jua eti unapiga kura?!
Gentleman,Kamwe siwezi kwenda kinyume na viongozi wangu wa kiroho, Wamewekwa wakfu ili kusimamia masuala ya Kiroho na Kijamii. Katika Biblia kitabu cha Wafalme tunaona Nabii Eliya akimkemea Mfalme Ahabu na kumueleza kwamba kwa sababu ya ubaya wake, hakungekuwa na mvua katika Israeli.
Kiburi, Jeuri na Ubabe wa CCM kukataa wazi wazi reforms za uchaguzi si tu ni kinyume na haki na miongozo ya Mungu bali ni kuiweka nchi chini ya hatari za kiusalama, Hivyo kushiriki uchaguzi huo ni kwenda kinyume na mpango wa Mungu.
Ninatoa wito kwa watanzania wote wenye nia njema kutokushiriki uchaguzi usiokuwa na baraka za Mungu.
Mkiwa na lenu agano la kale linawahusu, kwenye kutokula nguruwe 'mambo ya walawi yanatuhusu nini!?'Kamwe siwezi kwenda kinyume na viongozi wangu wa kiroho, Wamewekwa wakfu ili kusimamia masuala ya Kiroho na Kijamii. Katika Biblia kitabu cha Wafalme tunaona Nabii Eliya akimkemea Mfalme Ahabu na kumueleza kwamba kwa sababu ya ubaya wake, hakungekuwa na mvua katika Israeli.
Kiburi, Jeuri na Ubabe wa CCM kukataa wazi wazi reforms za uchaguzi si tu ni kinyume na haki na miongozo ya Mungu bali ni kuiweka nchi chini ya hatari za kiusalama, Hivyo kushiriki uchaguzi huo ni kwenda kinyume na mpango wa Mungu.
Ninatoa wito kwa watanzania wote wenye nia njema kutokushiriki uchaguzi usiokuwa na baraka za Mungu.
Acha kuhangaika.Mkiwa na lenu agano la kale linawahusu, kwenye kutokula nguruwe 'mambo ya walawi yanatuhusu nini!?'
Chadema imewaamsha waliolala.Hv bila ya chadema kuleta hiyo slogan bado mngeenda kupiga kura? Mana miaka yote ya uchaguzi mnapiga kura kwa kanuni hizi hizi ambazo zinapingwa sa h
Mbowe angeleta hii?Chadema imewaamsha waliolala.
Umeshajijibu kwenye sentensi yako ya mwanzoMbowe angeleta hii?
Mbona bado kuna member wa chadema wanapinga hilo?
Umesema chadema wamewaamsha waliolala ila hapo hapo kuna chadema wanaopiga, hapo nielewe nnUmeshajijibu kwenye sentensi yako ya mwanzo
Hao sio chadema ni mamlukiUmesema chadema wamewaamsha waliolala ila hapo hapo kuna chadema wanaopiga, hapo nielewe nn
Ila kabla ya Lissu kuwa mwenyekiti walikuwa chadema halisi?Hao sio chadema ni mamluki
Hv bila ya chadema kuleta hiyo slogan bado mngeenda kupiga kura? Mana miaka yote ya uchaguzi mnapiga kura kwa kanuni hizi hizi ambazo zinapingwa sa h