Roma Mkatoliki amemaanisha nini kwenye huu mstari

Mjanja M1

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2018
Posts
4,058
Reaction score
14,382
Msanii Roma ameachia kionjo cha wimbo wake mpya na moja ya mstari wa huo wimbo ni huu mstari anaosema "Kwani aliyemteka Roma, si ndio aliyevamia Mawingu''.

Your browser is not able to display this video.


Wajuzi wa mambo amemaanisha nini?

Written by Mjanja M1 ✍️
 
Hii ngoma itakua kali sana ngoja tuisubiri ila "Nipeni maua yangu" itengwe
 
Kuishi USA kumsitiri kiburi familia kaiacha Bongo usela mavu na attention utamponza wenzako wapo kwenye payloll
Vipi kuchekechwa kidogo tu unatoa povu ka umeshikwa jicho mzee mwenzangu. Acha kijana atupe burudani mambo ya familia waachie wanafamilia.
 
Mawingu ni CLOUDS, kamaanisha daudi albert ndio alivamiaga pale mawingu fm, na ndio aliyemteka yeye kwa mujibu wa mstari.
 
Sio kwamba haujaelewa ila unataka tuwe wengi tulioelewa...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…