mangiTz
JF-Expert Member
- Jul 28, 2019
- 1,820
- 3,062
Duh
π π πaliyemteka Roma ndiye aliyevamia Wasafi..!!ππ
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
π π πaliyemteka Roma ndiye aliyevamia Wasafi..!!ππ
Mwamba kutokea mbali nilikuwa sijaelewa ππAcha kupotosha watu.
Wawingu kwa kiingereza yanaitwaje.
Hapa ndio unaweza kuona akili za Samia. Yaani mtekaji anakuwa RC badala ya kuwa gerezani
Rudia juu mkuu ameandika Payloll πOna hili linabishana na mtekwaji. Hii ni akili za mataqo kabisa
Mtekaji alitumia ndege kwenda mawinguni?
Nadhani sio uwo wimbo ambao alioact kama amekufa unaitwa "My Condelences" amemshirikisha walter chilambo na HamadengoNdio wimbo ambao kwa video ka act amefariki ,pale na picha lake
Dah jana nlshtuka sana
Ubunifu huu ni wa ajabu sana.Ndio wimbo ambao kwa video ka act amefariki ,pale na picha lake
Dah jana nlshtuka sana
NakaziaOna hili linabishana na mtekwaji. Hii ni akili za mataqo kabisa
Anajua ila Mtego huo.Unajiita Mjanja Mmoja na hata huwezi kung'amua hilo?