Roma Mkatoliki amemaanisha nini kwenye huu mstari

Mbona aongeagi kwamba walimpitishia kifimbo dede kalioni?
 
Ndio wimbo ambao kwa video ka act amefariki ,pale na picha lake
Dah jana nlshtuka sana
Nadhani sio uwo wimbo ambao alioact kama amekufa unaitwa "My Condelences" amemshirikisha walter chilambo na Hamadengo
unapatikan ktk Album yake mpy " Nipeni maua yangu" aliyoiyachia leo hii
 
Kumbe ndo yule mwamba aliyewatembezea mitama ya kufa mtu watangazaji wa shilawadu?
 
Ila Bashite juzi nilikuwa namsikiliza huku arusha ,kuna dada likuja kutoa lalamiko kwamba kuna mwizi mtaani kwao anaiba na alisharipotiwa polisi ila anaachiwa ,Bashite akauuuliza OCD inakuwaje mtu anaiba kisha anapelekwa polisi anatoka akasita kueleza akasema mambo mengine hayapaswi kuongea hadharani,ila kwa sisi tuliopewa karama ya kujua nia ya mtu ni wazi alitaka kusema huyo mwizi akiletwa polisi ni "kumalizana nae tu aende kusalimia babu zake".
 
Mkuu umeelewa ila unataka tu wengi tuungane na wewe kumtaja mheshimiwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…