Tetesi: Roma Mkatoliki amezaa nje ya ndoa

Ujinga mtupu

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2017
Posts
887
Reaction score
2,010
Kwa wambea wa kimtandao inasemekana Roma amezaa ulaya anakoishi na amezaa ba mzungu.

Ushahidi wa post alizopost mwenyewe kwenye ukurasa wake IG akisindikizwa na ujumbe wa THANKS God wenye kuonyesha picha ya mtoto wake.

Screenshot_20241018-003324~2.jpg
 
Kwa wambea wa kimtandao inasemekana Roma amezaa ulaya anakoishi na amezaa ba mzungu.

Ushahidi wa post alizopost mwenyewe kwenye ukurasa wake IG akisindikizwa na ujumbe wa THANKS God wenye kuonyesha picha ya mtoto wake.

View attachment 3128307
Kuna kosa hapo?
Bumunda Ni mtoto wa nje ya ndoa na amepewa Hadi ubunge na kuaminiwa na wakubwa.
 
Back
Top Bottom