Tetesi: Roma Mkatoliki amezaa nje ya ndoa

Tetesi: Roma Mkatoliki amezaa nje ya ndoa

Sasa Roma yuko Ulaya ya wapi? Yaani hata kama ulipata D mbili, unashindwa kutofautisha mabara ya hii Dunia kweli?
Wabongo wengi wako hivyo ukishakuwa Nje ya bara la Afrika,,,Watasema uko zako ulaya
 
Sasa Roma yuko Ulaya ya wapi? Yaani hata kama ulipata D mbili, unashindwa kutofautisha mabara ya hii Dunia kweli?
Mkuu unaumia ukiwa wapi? Ulaya ndio imesimamia abroad ama mamton. Je pia unajua yuropa inakubalika kwenye kiswahili? Ni kama tu sheli kwenye vituo vya mafuta ama mfuko wa Rambo ama sado ama Toyo.

Acha stress mkuu na mambo madogo potezea mambo mengine utakuwa tu na amani.

Sauh'waah?
 
We nae kiazi tu. Sasa ndio umeandika nini?
 
Potezea tu mkuu. Mambo madogo unajipa stress bure na kujiona mjuaji mwishoe unakufa kizembe na stress.

Acha porojo mingi jamvini jikite kwenye mada na upanue wigo mpana.

Sauh'waah?

Hili ni jamvi huru na kila mtu anaweza kutoa mtazamo wake, I don't understand why are you triggered?
Nilisema Marekani sio Ulaya sasa kwanini unakasirika?
 
Hii huenda Ni Kiki tu labda Roma anajiandaa kuachia chuma kingine
 
Back
Top Bottom