Ujinga mtupu
JF-Expert Member
- Aug 16, 2017
- 887
- 2,010
Safi sana Roma
Roma anaishi kwa stress sana Marekani alitegemea kupata hadhi ya ukimbizi wa kisiasa ila imeshindikana sasa analewa sana uko yupo busy na mitandao analelewa na washikaji hizo ni kikisinza pazuri hii imekaaje ?
Huyo mtoto kafanana kabisa na mke wake hii inaweza kuwa nyimbo tu.Kwa undezi wa wasanii wa wabongo sistostaajabu ikawa ni kiki ya nyimbo mpya.
Kuna kosa hapo?Kwa wambea wa kimtandao inasemekana Roma amezaa ulaya anakoishi na amezaa ba mzungu.
Ushahidi wa post alizopost mwenyewe kwenye ukurasa wake IG akisindikizwa na ujumbe wa THANKS God wenye kuonyesha picha ya mtoto wake.
View attachment 3128307
Ujinga mtupuKwa wambea wa kimtandao inasemekana Roma amezaa ulaya anakoishi na amezaa ba mzungu.
Ushahidi wa post alizopost mwenyewe kwenye ukurasa wake IG akisindikizwa na ujumbe wa THANKS God wenye kuonyesha picha ya mtoto wake.
View attachment 3128307