Melki Wamatukio
JF-Expert Member
- May 3, 2022
- 6,156
- 10,974
We ndo umeandika utoto kuliko mtoa madaUmeandika utoto... Ila apart from utoto wako nakubaliana nawe Roma ana akili kuliko wasanii karibia wote wa Bongo fleva
Hivi Urais wa TZ ni kazi rahisi Sana.mnajiropokea majina kwamba fulani anaweza?
Yani unakuta MTU kapiga picha Tu kidogo kavaa Suti anashikana mikono na wazungu,,chawa wanaweka caption/comment raisi TZ 2045. Haya huyu na Ney wameamua kutoka na genre yao ya hip-hop siasa,basi Kila MTU anawaona Wana maono,,they are actually saying what everybody knows albeit loudly ,kwa hawa jamaa hawafai. Sio kitu kipya..we can call them courageous but not fill them with presidential labels
Ww umefanya nini kuidondosha ccmRoma and Ney Wamitego are enlightened musicians; vijana wa Tanzania wangekuwa wamejitambua kama hao wenzao ccm isingewabebesha magunia ya misumali!!!!
Sikuwapigia kura ingawa waliiba ushindi!!Ww umefanya nini kuidondosha ccm
We kweli ni form 4 failure.Roma ni mzarendo na anaipenda nchi yake kwa dhati. Licha ya kuishi nchi ya mbali na nyumbani, tena nchi ya kitajiri, moyo wa Roma umekuwa ukinung'unika sana kuona ni kwa namna gani pesa za kuezeka nchi zinavyopigwa na wavaa tai
Roma anaijua siasa vizuri, elimu anayo, ana IQ kubwa. Pia ni mfuatiliaji mzuri wa nyaraka na matukio
Isingekuwa inshu ya uongozi wetu kumfyekelea mbali mtu huyu pindi atakapotua kwenye paa la nchi yetu, Roma alitakiwa kupewa nafasi ya CAG, uwaziri wa mambo ya ndani au agombee urais ili tummwagie kura za kutosha hata kama ataunda chama chake
Roma uishi milele
Mwana FA kawa waziri sababu ya muziki. Fanya kumuuliza Prof Jay, muziki umempa nafasi ipi serikalini?Urais kisa music?
Hapana mkuu. Nina degree tatu, nauza nyanya KaratuWe kweli ni form 4 failure.
Wewe unafikiri akina magufuli waliopata urais walikuwa na kitu gani Cha ziada kuufanya urais wa Tanzania uwe wa maana Sana.Hivi Urais wa TZ ni kazi rahisi Sana.mnajiropokea majina kwamba fulani anaweza?
Yani unakuta MTU kapiga picha Tu kidogo kavaa Suti anashikana mikono na wazungu,,chawa wanaweka caption/comment raisi TZ 2045. Haya huyu na Ney wameamua kutoka na genre yao ya hip-hop siasa,basi Kila MTU anawaona Wana maono,,they are actually saying what everybody knows albeit loudly ,kwa hawa jamaa hawafai. Sio kitu kipya..we can call them courageous but not fill them with presidential labels
Mama hana noma na roma ni mwendazake ndio alikuwa anazingua tu ila kikwete na mama hawana noma kama wanashinda naye wangemalizana nae tangu kipindi cha kikwete maana alimtukana mzee wa msoga ila akampotezea.Roma ni mzarendo na anaipenda nchi yake kwa dhati. Licha ya kuishi nchi ya mbali na nyumbani, tena nchi ya kitajiri, moyo wa Roma umekuwa ukinung'unika sana kuona ni kwa namna gani pesa za kuezeka nchi zinavyopigwa na wavaa tai
Roma anaijua siasa vizuri, elimu anayo, ana IQ kubwa. Pia ni mfuatiliaji mzuri wa nyaraka na matukio
Isingekuwa inshu ya uongozi wetu kumfyekelea mbali mtu huyu pindi atakapotua kwenye paa la nchi yetu, Roma alitakiwa kupewa nafasi ya CAG, uwaziri wa mambo ya ndani au agombee urais ili tummwagie kura za kutosha hata kama ataunda chama chake
Roma uishi milele
Ndio ni rahisi kwani huoni wewe mkuu?Hivi Urais wa TZ ni kazi rahisi Sana.mnajiropokea majina kwamba fulani anaweza?