Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🤣🤣🤣🤣🤣Ww umefanya nini kuidondosha ccm
Yule bibi pale magogoni aliweza nini hapo kabla mpaka sasa anaongoza nchi yako!? Ndio ashindwe Roma. Naamini hata mwendawazimu anaweza pewa hii nchi na akaiongoza.Hivi Urais wa TZ ni kazi rahisi Sana.mnajiropokea majina kwamba fulani anaweza?
Yani unakuta MTU kapiga picha Tu kidogo kavaa Suti anashikana mikono na wazungu,,chawa wanaweka caption/comment raisi TZ 2045. Haya huyu na Ney wameamua kutoka na genre yao ya hip-hop siasa,basi Kila MTU anawaona Wana maono,,they are actually saying what everybody knows albeit loudly ,kwa hawa jamaa hawafai. Sio kitu kipya..we can call them courageous but not fill them with presidential labels
You are proving my point ,that the standard for being a president is too lowYule bibi pale magogoni aliweza nini hapo kabla mpaka sasa anaongoza nchi yako!? Ndio ashindwe Roma. Naamini hata mwendawazimu anaweza pewa hii nchi na akaiongoza.
Una mimba changa ww sio bureHafai
mnaanzaje kumweka roma na ney kundi mojaRoma and Ney Wamitego are enlightened musicians; vijana wa Tanzania wangekuwa wamejitambua kama hao wenzao ccm isingewabebesha magunia ya misumali!!!!
natamani kujua hawa jamaa wamefanya niniMwana FA kawa waziri sababu ya muziki. Fanya kumuuliza Prof Jay, muziki umempa nafasi ipi serikalini?
Roma ni mzarendo na anaipenda nchi yake kwa dhati. Licha ya kuishi nchi ya mbali na nyumbani, tena nchi ya kitajiri, moyo wa Roma umekuwa ukinung'unika sana kuona ni kwa namna gani pesa za kuezeka nchi zinavyopigwa na wavaa tai
Roma anaijua siasa vizuri, elimu anayo, ana IQ kubwa. Pia ni mfuatiliaji mzuri wa nyaraka na matukio
Isingekuwa inshu ya uongozi wetu kumfyekelea mbali mtu huyu pindi atakapotua kwenye paa la nchi yetu, Roma alitakiwa kupewa nafasi ya CAG, uwaziri wa mambo ya ndani au agombee urais ili tummwagie kura za kutosha hata kama ataunda chama chake
Roma uishi milele