Roma Mkatoliki anafaa kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Umeonyesha jinsi gani ulivo kilaza
 
Yule bibi pale magogoni aliweza nini hapo kabla mpaka sasa anaongoza nchi yako!? Ndio ashindwe Roma. Naamini hata mwendawazimu anaweza pewa hii nchi na akaiongoza.
 
Yule bibi pale magogoni aliweza nini hapo kabla mpaka sasa anaongoza nchi yako!? Ndio ashindwe Roma. Naamini hata mwendawazimu anaweza pewa hii nchi na akaiongoza.
You are proving my point ,that the standard for being a president is too low
 
mwanamuziki wa hiphop mbunifu sera na manung'uniko ya wapinzani miaka nenda miaka rudi kaziweka kwenye mistari ikawa nyimbo.

ni ubunifu na kipaji alichonacho Roma kwenye sanaa yake ya hiphop,swala la kuongoza nchi ni tofauti na kuchana mistari.
 
Uraisi umekua Mraisi sana siku hizi
 
Roma and Ney Wamitego are enlightened musicians; vijana wa Tanzania wangekuwa wamejitambua kama hao wenzao ccm isingewabebesha magunia ya misumali!!!!
mnaanzaje kumweka roma na ney kundi moja
 

Ukisikia akili za kibbwege ndio hizi sasa..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…