Msemajiwao
JF-Expert Member
- Sep 12, 2016
- 679
- 1,692
Hahahah K n nnHujaisikia K ni K?
Faru khadijaMistari bado michache kwa sasa haitoshi,mistari iliyopo ni bombardier, kukamatwa kwa Lema na Melo,kupotea kwa Saa nane,kutumbua, Scorpion na Faru John kwa Roma hii haitoshi kukamilisha singo tusubiri subiri kidogo labda mwakani.
Kichwa ni KHahahah K n nn
Awam hii anaogopaKichwa ni K
Kidevu ni K
Kifua ni K
Kiuno ni K.... shuka chini
K ni K
*Kwa mujibu wa Roma/Baghdad/Snura