Roma Mkatoliki atangaza kuacha muziki!

Roma Mkatoliki atangaza kuacha muziki!

Huyu jamaa Kuna kitu alikipata siku katekwa ila nazan hawezi kusema
 
Marekani ukiwa na makaratasi kazi zipo sana, nafikiri lengo Lake ni kubaki kule na kupiga kazi. 💵 madola nje nje
 
Roma MKATOLIKI ametanganza Nia ya kucha muziki soon.
Kwanza kabisa ameeleza wimbo wake wa kwanza ilitoka 2007 na sasa anatoa wimbo wa mwisho, hivyo ametoa shukrani kwa wale wote walio support kazi zake za sanaa tangu mwanzo!
View attachment 1644742

Mwanakulitafuta mwanakulipata na safari hii sio ununio daraja la mkaapaa!!
 
Mbona jamaa amekonda sana
Swali muhimu sana.

Ila pia nilimsikia akielezea hili la kuacha muziki, nafikiri nayeye ameanza kutembelea kiki. Sio kuacha kwamba hatoimba tena, nadhani anataka kutoa ngoma kabla ya mwaka huu kuisha na hiyo itafanya wimbo huo kuwa wa mwisho kwa mwaka huu. Alisema kila mtu ana nanna anavyotafsiri jambo.
 
Back
Top Bottom