Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 2,060
- 5,648
Rapa Roma Mkatoliki amekiri kuwa wasanii wana ushawishi mkubwa katika jamii, lakini si jukumu lao kuongoza mabadiliko, akikosoa raia kwa kuwatumia kama kisingizio cha kutochukua hatua wenyewe.
Katika andiko lake huko X (Twitter), Rapa huyo amehoji ni kwa nini watu wanategemea wasanii kama Zuchu au Dulla Makabila kuzungumza kwa niaba yao, badala ya wao wenyewe kufanya mabadiliko. Ameonya kuwa raia wanawabebesha wasanii majukumu yasiyowahusu ili kuepuka kuwajibika.
Upi mtazamo wako mdau?.
Soma pia:
Ally Mohamed Kibao auawa na mwili kutelekezwa Ununio ukiwa umeharibika sana
John Mnyika: Kiongozi wa CHADEMA Mzee Ali Mohamed Kibao, adaiwa kushushwa kwenye Basi na kuchukuliwa
Rais Samia aagiza Vyombo vya Uchunguzi kumpa taarifa ya kina ya Kifo cha Ali Mohamed Kibao
CHADEMA: Mzee Ally Kibao ametekwa na Vyombo vya Ulinzi na Usalama akiwa kwenye basi. Usalama wa Taifa waeleze alipo