Roma Mkatoliki ni nani?

ubongokid

JF-Expert Member
Joined
Apr 30, 2017
Posts
2,154
Reaction score
4,184
Wana jamvi,
In Principle Roma Mkatoliki ni nani?Ni Mkatoliki?Ni muumimni wa Chama Gani cha siasa?Ana mtazamo wa namna gani katika siasa,maisha,n.k.

Nimeuliza swali hili kimsingi hasa baada ya kutafakari mahali nchi yetu ilipofikia na tunakoelekea.Kwa mujibu wa matukio kadhaa yaliyowahi kutokea ha kumhusu Dr.Ulimboka,Kibanda,Roma na wengine ambao wamepata kupitia magumu yatokanayo na mitazamo yao kutofautiana na Watawala.
 
Roma mkatoliki ni msanii wa hip hop
Jina lake halisi ni Ibrahim Mussa
Mwanachama wa CDM
Ni muumini wa kanisa katoliki
Ana mtazamo wa mabadiliko na demokrasia
Nimejaribu kukujibu mengine atayajibu yeye
 
Roma mkatoliki ni msanii wa hip hop
Jina lake halisi ni Ibrahim Mussa
Mwanachama wa CDM
Ni muumini wa kanisa katoliki
Ana mtazamo wa mabadiliko na demokrasia
Nimejaribu kukujibu mengine atayajibu yeye
Mbona kuna mahali ametajwa na mkewe kwa jina la Andrew?
 
Kubakwa?kukabwa??
Sijakuelewa ujue.......mana ndani mekutana na majina ya kiume
 
Kwahiyo unamaanisha hao ulio wataja hapo juu, ndio walifanyiwa hicho kitendo unacho taka kujua madhara yake....[emoji15] [emoji45]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…