Khantwe
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 59,415
- 119,473
Aisee au unanifahamu[emoji124] [emoji124] [emoji124]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aisee au unanifahamu[emoji124] [emoji124] [emoji124]
Inawezekana.Aisee au unanifahamu
Mh!?Roma mkatoliki ni msanii wa hip hop
Jina lake halisi ni Ibrahim Mussa
Mwanachama wa CDM
Ni muumini wa kanisa katoliki
Ana mtazamo wa mabadiliko na demokrasia
Nimejaribu kukujibu mengine atayajibu yeye
Aah wapi...Inawezekana.
Hutaki sasa kula ndivu au kunywa litre nzima ya vineja.Aah wapi...
Ndo vinini hivyo sasaHutaki sasa kula ndivu au kunywa litre nzima ya vineja.
Nilikosea bwana... kama hautaki nilichpkuambia basi kula ndimuuu ila ukweli ndiyo huo.Ndo vinini hivyo sasa
HayaaaNilikosea bwana... kama hautaki nilichpkuambia basi kula ndimuuu ila ukweli ndiyo huo.
Vp mkuu kwa heri au Shari???Mh!?
Hahaha aisee shwari msalimie popomaVp mkuu kwa heri au Shari???