Roma Mkatoliki sasa ameamua kuokoka...anaimba nyimbo za dini

Roma Mkatoliki sasa ameamua kuokoka...anaimba nyimbo za dini

Tayari kashachanganyikiwa kijana wa watu masikini ya Mungu daaah,japo kumtumikia Mungu ni jambo jema
 
Binadam mbaya sana marahii hata huyu kijana alie mstar wambele kuutetea upinzan miaka yake yote mnamtendea namna hii inaogopesha sana.kama je walimdhalilisha kingono mlitaka aje aseme kua aliingiliwa jaman hakuna mwenye ujasir huo.hivo msingemfanyia haya mnayomfanyia kila mwenye uwezo wakuusaidia upizan akiliona hili hawez kuthubutu hata kidogo maana unapendwa dakika moja baada yahapo unaonekana uwozo.da kwel dunia hadaa
 
Kwan kibaya kipi apo mtu kumkumbuka mungu wake alaf hakupenda kutekwa
 
Back
Top Bottom