Roma Mkatoliki sasa ni mwalimu wa Hisabati shule ya Msingi Mchikichini

Roma Mkatoliki sasa ni mwalimu wa Hisabati shule ya Msingi Mchikichini

Basi kwa jinsi hiyo inaonekana wale jamaa waliombinya walifanya kazi nzuri..na ninashauri wawafanyie walimu wengine ili warudi darasani.
 
Kimbilio la waliofeli niuwalimu na upolisi leo Roma anasema kimbilio la waliotekwa ni uwalimu wakujitolea heeeee Hii ndio Tanzania Sfi Roma komaa
 
Huyu jamaa wali mfanya nini Yah Rabi.
Mana sio kwa U-Turn hyoooo.
 
Hakuna anayetekwa akarudi akataja waliomteka,majambazi ya siri nzito!ila wanaojiteka wanaeleza yooote ilivyokuwa!
 
Mnaandika vichwa vya habari vilivyo na mvuto kuwanasa wasomaji.


Kutoa msaada ndio kunafanya arudi katika kazi ya ualimu...?

Waandishi wa Tanzania jaribuni kutuliza bongo zenu.
 
Watu wengi tulichosoma sio tunachokifanya

Kama Mimi nilisomea Udereva wa Malori ya kubeba Takataka sasa hivi napiga Debe Bunju Kariakoo na hivi punde tu tumetoka kupaki Daladala letu CCM Boko Basihaya.
 
Alishamtaja mtekaji wake?

Siku atakayothubutu kuwataja pengine ndiyo siku hiyo hiyo Watanzania tutaongozana na kupanga mstari kuuaga mwili wake mortuary tayari kwenda kumuhifadhi katika Nyumba yake ya milele.
 
Back
Top Bottom