Roma Mkatoliki: Takwimu zaonesha wachawi wengi ni wanawake zaidi kuliko wanaume

Labani og

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2020
Posts
19,637
Reaction score
29,473
Linapokuja suala la ushirikina katika jamii kwa wanaoamini katika hili according to roma mkatoliki anasema "wachawi (wanga)wengi ni wanawake kuliko wanaume.

Hata wanaokwenda kwa waganga wengi ni wakike kuliko wanaume

Swali: je ni kwasababu duniani wanawake Ni wengi zaidi! Au Kuna sababu zingine?

FB_IMG_16639273376234644.jpg
 
Vipi majambazi na vibaka wengi ni jinsia gani ama mnajitoa ufahamu

Wala siyo suala la idadi kila jinsia inafanya dhambi kulingana na uwezo wake wa kimaumbile

Au ndiyo mnataka kusema uchawi ndiyo dhambi kubwa sana kuliko ujambazi
 
Na majambazi na vibaka wengi ni jinsia gani ama mnajitoa ufahamu

Wala siyo suala la idadi kila jinsia inafanya dhambi kulingana na uwezo wake wa kimaumbile

Au ndiyo mnataka kusema uchawi ndiyo dhambi kubwa sana kuliko ujambazi
Mkuu..... kumbuka research ili base kwnye ushirikina.... na sio ujambazi na vibaka [emoji23][emoji23]
 
Nasema ivi hii dunia ilikuwa salama mpaka pale alipoumbwa mwanamke , ukitaka kujua watu wanafiki, wachawi ni wanawake kwa vile ni hulka yao na pia Wana vinasaba vya shetani ukichunguza dhambi nyingi Zina ushirika na ushawishi wa wanawake chanzo za hizo Dhambi na kurudi nyuma kimaendeleo.
 
Mkuu.... unafikiri bila Hawa viumbe dunia ingekuaje [emoji23][emoji23]
 
Linapokuja suala la ushirikina katika jamii kwa wanaoamini katika hili according to roma mkatoliki anasema "wachawi (wanga)wengi ni wanawake kuliko wanaume.

Hata wanaokwenda kwa waganga wengi ni wakike kuliko wanaume

Swali: je ni kwasababu duniani wanawake Ni wengi zaidi! Au Kuna sababu zingine?
Ili umwone mchawi lazima nawe uwe na vimelea vya uchawi
 
Back
Top Bottom