Roma Mkatoliki: Takwimu zaonesha wachawi wengi ni wanawake zaidi kuliko wanaume

Wanaume wengi wapo jela wanatumikia adhabu za kubambikia vichaa wengi ni wanaume na wengine mateja stendi wanapiga daywaka
 
Sababu inaweza kuwa ni nn mkuu...??
 
Sababu inaweza kuwa ni nn mkuu...??
Wanaume wanaishi kwa visasi kutoka kwa wenza wao ndugu zao wa damu sehemu wanazofanyia kazi na kupata rafiki na hata wanaoenda kwenye vita wengi ni wanaume angalia mfano Ukraine wanawake waliruhusiwa kuondoka wanaume waliambiwa wabaki wapiganie nchi yao.
 
Roma Mkatoliki hajasema chanzo cha hii takwimu, kwahiyo mi naona bora tuendelee na tozo tu.
 
Wanaume wanaishi kwa visasi kutoka kwa wenza wao ndugu zao wa damu sehemu wanazofanyia kazi na kupata rafiki na hata wanaoenda kwenye vita wengi ni wanaume angalia mfano Ukraine wanawake waliruhusiwa kuondoka wanaume waliambiwa wabaki wapiganie nchi yao.
Daaah hali mbaya
 
Back
Top Bottom