Mkuu..... kumbuka research ili base kwnye ushirikina.... na sio ujambazi na vibaka [emoji23][emoji23]Na majambazi na vibaka wengi ni jinsia gani ama mnajitoa ufahamu
Wala siyo suala la idadi kila jinsia inafanya dhambi kulingana na uwezo wake wa kimaumbile
Au ndiyo mnataka kusema uchawi ndiyo dhambi kubwa sana kuliko ujambazi
[emoji23]Na tumeloga tozo zimefutwa baadhi
Popote ulipo ....man .jipige kifua[emoji23]
Binadamu anasahau mazuri tu ila mabaya ni ngumuBinadamu kusahau ni kawaida mkuu
Mkuu.... unafikiri bila Hawa viumbe dunia ingekuaje [emoji23][emoji23]Nasema ivi hii dunia ilikuwa salama mpaka pale alipoumbwa mwanamke , ukitaka kujua watu wanafiki, wachawi ni wanawake kwa vile ni hulka yao na pia Wana vinasaba vya shetani ukichunguza dhambi nyingi Zina ushirika na ushawishi wa wanawake chanzo za hizo Dhambi na kurudi nyuma kimaendeleo.
Ili umwone mchawi lazima nawe uwe na vimelea vya uchawiLinapokuja suala la ushirikina katika jamii kwa wanaoamini katika hili according to roma mkatoliki anasema "wachawi (wanga)wengi ni wanawake kuliko wanaume.
Hata wanaokwenda kwa waganga wengi ni wakike kuliko wanaume
Swali: je ni kwasababu duniani wanawake Ni wengi zaidi! Au Kuna sababu zingine?
Hahahah daahWanaume ndyo waganga