ROMA Mkatoliki unaogopa? Mbona hutoi wimbo kuhusu hali ya sasa?

Roma sijui kime mpata nini, alikuwa ana muonea JK lakin kwa magufuli ana gwaya.
Sasa hivi yupo tu anaimba mapenzi tuu, nadhan naye uoga ume mpata
 
Ameambiwa akitoa nyimbo mpya anapewa kazi ya kua askari police huko KIBITI
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…