ROMA Mkatoliki unaogopa? Mbona hutoi wimbo kuhusu hali ya sasa?

ROMA Mkatoliki unaogopa? Mbona hutoi wimbo kuhusu hali ya sasa?

Msaani maarufu wa Hip Hop nchini Tanzania anayejulikana kama ROMA Mkatoliki kwa hali ya kisiasa ilivyo sasa sio kawaida yake kukaa kimya maana huwa lazima atie neno yani aachie angalau kawimbo juu ya yanayoendelea maana katika moja ya mashairi yake kwenye nyimbo zake anasema "mimi ni mtetezi wa wanyonge". Swali je upo chimbo au ndo umeshaingiwa na uwoga juu tasnia ya habari na vyombo vyake hasa kiongozi mfano wa Nape kutumbuliwa kisa kasema ukweli? VIVA ROMA VIVA
 
Labda ageuze Yale mashairi aliyokuwa anaimba awamu iliyopita..yaani nyimbo zake azigeuzie bia angani..maana haya mabadiliko ndio aliyokuwa akiyaimba na tulimuunga mkono kwelikweli
 
Labda ageuze Yale mashairi aliyokuwa anaimba awamu iliyopita..yaani nyimbo zake azigeuzie bia angani..maana haya mabadiliko ndio aliyokuwa akiyaimba na tulimuunga mkono kwelikweli
Mabadiliko ya kuvamia clouds fm na bunduki na kumtimua kazi waziri aliyebaini uvamizi wa kituo cha habari kwa bunduki??
 
Unacheza na 7M[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] kwa usawa huu wa mkulu
 
Then familia yake ataleta kwako uitunze?[emoji23] [emoji23]
Acha kuwaponza wenzio
 
Roma mbna kimya. Huoni mwenzio kapata zari la mentali. Fanya mpango na wewe utupie vitu uitwe mjengon. Usije ukazidiwa hta ma Wagosi wa Kya.
 
Ila vijana muwe waangalifu. Msimchukulie poa rais na taasisi yake. You have no idea what they are capable of.
 
Sisi wadau wa ROMA mkatoliki msanii wa Hip Hop tunatamani sana kusikia na kuona Ngoma mpya kutoka kwako.

Kwa matukio yalivyo sasa naamini una mengi ya kuyazungumzia kwa Kuangalia uongozi wetu wa awamu ya 5. matukio ya Mwafwaaa, Bashite, Kuliwa kwa fedha Za wahanga wa tetemeko, fukuzana ya CCM, hofu ya Chadema(Ukuta), kuongezeka kwa ugumu wa maisha, Tatizo la mikopo, Milioni 50 kila kijiji, Hongera ya kununua Bombardier. Na mengine mengi.

Usiogope Si kawaida yako. Tunakumbuka vibao kama Viva ROMA Viva, Mr. President, Mathematics, 2030, Tanzania, hivi japo havipigwi redioni vinabaki kuwa conscious Music vinaeleza ukweli come on ROMA.

Tunasubiri kibao matata.
========

Msanii ROMA aliwahi kujibu swali hili kwenye interview hii;


Mbona ww hautoi
 
Back
Top Bottom