Eng Inc
JF-Expert Member
- Feb 3, 2017
- 631
- 944
Msaani maarufu wa Hip Hop nchini Tanzania anayejulikana kama ROMA Mkatoliki kwa hali ya kisiasa ilivyo sasa sio kawaida yake kukaa kimya maana huwa lazima atie neno yani aachie angalau kawimbo juu ya yanayoendelea maana katika moja ya mashairi yake kwenye nyimbo zake anasema "mimi ni mtetezi wa wanyonge". Swali je upo chimbo au ndo umeshaingiwa na uwoga juu tasnia ya habari na vyombo vyake hasa kiongozi mfano wa Nape kutumbuliwa kisa kasema ukweli? VIVA ROMA VIVA