Roma Mkatoliki unarudi lini

Roma ni kinyozi huko usa Kwa siku anakinja $400,sawa na zaidi ya laki 9 za kibongo ....

Kuhusu mke wahuni wanajigongea tu ...
 
Roma alinyimwa asylum yupo yupo tu huko analewa muda wote wanaomtunza washamchoka ila hajiongezi. Alizamia as anaenda kupiga show na wale kina chalii ya R. Matokeo yake mke wake wanamchapia tu wahuni.
Ila watu khaaaaaah.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
I sense jealousy here, US anaishi maisha yake na lifestyle yake(hakufahamu/hamfahamiani) anaipanga na kuamua mwenyewe na namna wanavyokubaliana na mke wake it's their own private business. Hata wakiamua kuachana itakuwa ni juu yao wenyewe, maisha binafsi ya mtu, mikakati na mipango yake ni ngumu sana mtu asiyehusika kuifahamu.
 
Kuna jamaa alinambiaga kwamba alimuona huko ulaya anafanya kazi mgahawani ila sina uhakika maana huyu jamaangu huwaga ni muongo muongo japo kweli anaendaga huko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…