Roma Mkatoliki unarudi lini

Roma Mkatoliki unarudi lini

Roma ni kinyozi huko usa Kwa siku anakinja $400,sawa na zaidi ya laki 9 za kibongo ....

Kuhusu mke wahuni wanajigongea tu ...
 
Roma alinyimwa asylum yupo yupo tu huko analewa muda wote wanaomtunza washamchoka ila hajiongezi. Alizamia as anaenda kupiga show na wale kina chalii ya R. Matokeo yake mke wake wanamchapia tu wahuni.
Ila watu khaaaaaah.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ni miaka 4 au 5 tokea msanii Roma Mkatoliki kukimbilia Marekani.

Mpaka leo hatujui sababu zipi zilizofanya utimkie katika nchi za watu na kuwa mkimbizi wa kisiasa
Wakati wew ni msanii mkubwa Sana ulietoa nyimbo nyingi na hit za kiharakati ni muda Sasa wa kurudi bongo Kama mmoja wa shabiki yako tumemisi kukuona kwenye maevent,show,studio na kwenye video Kali.

Roma Mkatoliki uko Marekani unafanya Nini,Kama ulikimbia sababu ya siasa ni muda wa kurudi,
Kama umepata kazi njoo uchukue na familia yako na utangaze umeacha mziki.

Roma Mkatoliki unarudi lini???
I sense jealousy here, US anaishi maisha yake na lifestyle yake(hakufahamu/hamfahamiani) anaipanga na kuamua mwenyewe na namna wanavyokubaliana na mke wake it's their own private business. Hata wakiamua kuachana itakuwa ni juu yao wenyewe, maisha binafsi ya mtu, mikakati na mipango yake ni ngumu sana mtu asiyehusika kuifahamu.
 
Ni miaka 4 au 5 tokea msanii Roma Mkatoliki kukimbilia Marekani.

Mpaka leo hatujui sababu zipi zilizofanya utimkie katika nchi za watu na kuwa mkimbizi wa kisiasa
Wakati wew ni msanii mkubwa Sana ulietoa nyimbo nyingi na hit za kiharakati ni muda Sasa wa kurudi bongo Kama mmoja wa shabiki yako tumemisi kukuona kwenye maevent,show,studio na kwenye video Kali.

Roma Mkatoliki uko Marekani unafanya Nini,Kama ulikimbia sababu ya siasa ni muda wa kurudi,
Kama umepata kazi njoo uchukue na familia yako na utangaze umeacha mziki.

Roma Mkatoliki unarudi lini???
Kuna jamaa alinambiaga kwamba alimuona huko ulaya anafanya kazi mgahawani ila sina uhakika maana huyu jamaangu huwaga ni muongo muongo japo kweli anaendaga huko
 
Back
Top Bottom