Roma Mkatoliki usiposema ukweli kesho, wakatoliki halisi tutausema Jumanne

Status
Not open for further replies.


Ha ha haaaaaaa

Porojo umeteka wanaokuamini, umeandika mgazeti ambao hata mtoto aliyezaliwa leo angeandika.

Nikuamvie haujui kutunga chochote na upo hapa hapa nchini.

Yaani kweli hamna akili hivikutunga uongo ulioenda shule!?

Unasikitisha kuwa mtanzania na unatia aibu.

Na bado mtanyooka tu, muongo mkubwa wewe.

Hamumuwezi JPM na bado, mtasagia meno.

Duh na ndio maana umekuwa unakimbia kuquote watu unaojua wamo humu, utazidiwa akili ukijaribu kupinga. Ukawa unajibu wale uliowasoma humu ni wafata mikumbo.


Kwa sasa umejaribu, umefeli big time. Umeanzisha uzi kuchafua viongozi wetu, yale yale. Na umkome Mhe. Makonda

Na atawanyoosha haswa

Mfywuuuuuu
 
Mungu wangu
Aiseee
Hata Mimi kilini click kwenye akili
Kama hawakuwamaliza on sport na wameamua kuwaachia basi watakuwa wamekuwa poisoned ya kuwamaliza taratibu

Mungu wetu you have to do something kwa hawa watu wawili,tunakoelekea siko
 

naomba nitajie tafadhali hao viongozi wako unaowasema ambao umeona nikiwataja mahala popote pale katika maelezo yangu.
 
Mbona unapanic

Hajamchafua kiongozi yeyeto Bali viongozi ndio wanajichafua wenyewe

Unfortunately tumemuelewa vizuri sana tena kupita kiasi

Hata macho ya Nancy mke Wa Roma yalikuwa yanajieleza vizuri sana alivyokuwa akipata hasira kwa Roma kuongea uongo

Wewe ndio una wafuasi wawili tu

Next time waambie ma boss zako wachukue short course za utekaji ili uwe successful
 

Wewe unaumia na kitu, dili halikukulipa vizuri umekuja kubwata humu.

Unataka kuchezea akili za nani, kusubiria press conf. Ndio utumie kuandika maajabu...ha ha haaaaa

Eti kusikia sauti, machozi alitoa ya furaha kuwa Mkuu wa Mkoa alitoa ahadi kuwaokoa kwa njia yoyote watekwa.

Ujue kutofautisha, mtu kuwa na furaha ya kutaka hata kulia.

Bila Mhe. Makonda watekwa wasingemaliza ka movie kao na wenzao. Aliyoyaongea mmetafsiri mengine kivyenu kujaribu kuungaunga na mkavizia. Kumbe mmegonga mwamba, watu wanajua gemu zaidi yenu wapo dk 5 mbele kudeal na nyie waovu mnaotaka kuchafua nchi hii.

Ni wakati umefika watu wengi zaidi waanze kuhojiwa sasa. Na bado

Mtanyooka tu
 

laiti kama ningekuwa tanzania huko kwa sasa ningekutafuta mkuu nikupe angalau zawadi kwa kuzungumza jambo jema na la kujenga kabisa.
 
naomba nitajie tafadhali hao viongozi wako unaowasema ambao umeona nikiwataja mahala popote pale katika maelezo yangu.

roma ni kwanini ulipomwona mwakyembe anasikiliza ile sauti ya yule kiongozi katika simu ya mwandishi ukainama ghafla na ukawa unafuta machozi huku ukiwa na maumivu na amani yako pale ilitoweka ghafla

Wewe kuna kitu sikuelewi na hautaki kujitoa, nilikusoma sama ila unachofanya ni kuzidi kuweka wapenda udaku waamini wanayofikiria kuhusu viongozi wetu.

Unasahau ulisema ni wapi unatoa taarifa?

Unasahau ulishawahi kuleta uzi wa kumsifia kiongozi mmoja ambaye anatetemesha nchi?

Haya nichambulie hayo maneno yako hapo juu ya leo juu ya audio, kama unataka nikuelewe kivingine.

Nakupa ciao kwa sasa

Makonda oyeeee
 
Choko
 

naomba unisaidie hivi kumbe katika maelezo yangu yote ya kimaandishi humu nimemtaja huyo mkuu wako wa mkoa? halafu kama hutojali hebu tusaidie ni mkuu wa mkoa gani huyo unayemsemea wewe?
 
Mungu wangu
Aiseee
Hata Mimi kilini click kwenye akili
Kama hawakuwamaliza on sport na wameamua kuwaachia basi watakuwa wamekuwa poisoned ya kuwamaliza taratibu

Mungu wetu you have to do something kwa hawa watu wawili,tunakoelekea siko
Unachosema kinaweza kuwa kweli, unajua hakuna siri ya watu wengi, so kati yao lazima kuna mmoja au wawili wataongea tu, nanhili kuwadhibiti ndio hilo la slow poison laweza kuwa kweli, ngoja tuone hii move, nchi inatisha sana hii
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…