Roma Mkatoliki usiposema ukweli kesho, wakatoliki halisi tutausema Jumanne

Roma Mkatoliki usiposema ukweli kesho, wakatoliki halisi tutausema Jumanne

Status
Not open for further replies.
kwanza nianze tu kwa kuwapa pole kwa waliyowakuta ila nadhani roma mkatoliki akishapona hayo majeraha yake basi aachane tu rasmi na kazi yake ya muziki na aje huku hergeisa nchini somalia nilipo ili tuweze kuvua sote samaki kwani kitendo chake cha leo ni kama vile amejidhalilisha na amewatukana watanzania kwa kuuficha ukweli.

kwanza niseme tu simlaumu kwa kusema kuwa hawakujua walipelekwa katika nyumba gani ila hayo maeneo niliyoyataja hapo juu ndipo ambapo walipelekwa ila kwakuwa muda wote hata wakati wanateswa walikuwa wamefunikwa ili wasiwajue watesaji wasingeweza kujua ni wapi walikuwepo.

roma mkatoliki kwani ungesema tu haya kwa waandishi wa habari hata kama ungekufa leo udhani kama ungebaki kuwa shujaa kwetu kama walivyo mashujaa wengine?

roma umepigwa na kuteswa sana ila unajikaza tu ili kuwaficha watanzania
roma umehojiwa mno kuhusu itikadi yako ya kisiasa na kipigo chako kikubwa kilitokana na hili je umeogopa nini kuwaambia watanzania hapo mkutanoni?
roma uliwekewa kitu sehemu ya haja kubwa na kuwa waya wa umeme ulitaka kuwekewa katika uume wako
roma ulitishiwa sana kuuliwa mkeo na mwanao kama usingewaambia ukweli
roma uliposema kuwa unahisi hauko salama nakubalina nawe kwani ile kemikali mliyopuliziwa imewamaliza na ndiyo maana wote mapafu yenu sasa yanawasumbueni na watanzania tufunge tu tuwaombee hawa wenzetu
roma ni kwanini ulipomwona mwakyembe anasikiliza ile sauti ya yule kiongozi katika simu ya mwandishi ukainama ghafla na ukawa unafuta machozi huku ukiwa na maumivu na amani yako pale ilitoweka ghafla?
roma kwanini umedanganya kuwa mlitupwa tu pale ununio kisha wewe ndiyo ukapata nguvu na kuanza kuwafungua wenzako vile vitambaa wakati ukweli ni kwamba mlipotupwa ni wewe ndiyo uliyefunguliwa haraka kamba na aliyekufungua akakuambia kuwa usigeuke huku akikunyooshea silaha kisha akapanda gari upesi na wakaondoka kwa spidi ya hali ya juu?
roma kwanini hujasema kuwa katika mahojiano yako hasa wewe kila mara ulikuwa ukiulizwa kuhusu mwanaharakati mwenzio msanii ney wa mitego?
roma kwanini hujawaambia watanzania kuwa kuna maagizo ulipewa uwape wasanii wenzio akina niki wa pili na kaka yake joh makini kuwa watulie na wafanye kazi zingine?
roma kwanini hukusema kwamba moja ya sababu inayomfanya mmoja wenu mpaka leo kuogopa na kukosa usingizi na kuwasumbueni usiku kucha kunatokana na zile sinema za vitisho na za mauaji ya kikatili mlizokuwa mkionyeshwa ili kuwamalizeni kisaikolojia?

ni hayo tu ndiyo nilitaka nimkumbushe roma mkatoliki kuwa hakuyasema au kuyaweka wazi kwa waandishi wa habari pale mkutanoni kwa kuogopa kumaliziwa kabisa japo kwa taratibu za watekaji wote duniani huwa wakimteka mtu halafu wakaja kumuachia yule mtu huwa haishi muda mrefu kwani huwa wameshammaliza kwa vitu vyao wanavyovijua wao.

sababu kubwa ya mwakyembe kuwa hapo ni kumjengea uwoga roma mkatoliki kitu ambacho kweli kilifanikiwa kwani roma alikuwa hajui kama angemkuta hapo hivyo alishtuka na hata saikolojia ya mwakyembe ilikuwa ni ya kutishia zaidi na siyo ya kutafuta suluhu na ndiyo maana muda wote alikuwa na wasiwasi, mkali na anachukia maswali ya maana.

sababu kubwa ya yule dada pale ukumbini kuwa vile ni kwamba alishapewa maelekezo kabla ya kuyafanya hayo aliyokuwa akiyafanya ili tu kuweza kutibua mtiririko mzima wa ule mkutano na katika hili aliweza kufanikiwa kwani hata waliompa maelekezo mmoja wao alikuwepo ndani mule akihakikisha kama anafanya alichoelekezwa huku wenzako wakiwa katika gari.

na huu ndiyo mwisho wangu wa niliyowaahidi kuwaambieni kama roma mkatoliki asingesema ukweli wote juu ya kile kilichomtokea na baada ya hili sihitaji tena swali lolote sana sana tu niwatake watanzania kuwa tayari kwa taarifa za kupikwa na kuficha ukweli kutoka kule ambako akina roma mkatoliki walienda kuripoti, na nimwambie tu roma kuwa kwa aina ile ya mateso yanayokaribia na kifo aliyoyapata hasa yeye leo asingekuwa na cha kupoteza hata kama angesema ukweli wote na kuja kuuwawa kwani ukweli wake wa leo ungeweza kuisaidia tanzania na watanzania wote na hata kama angekufa basi angegeuka kuwa shujaa wetu kama hayati edward moringe sokoine.

Ha ha haaaaaaa

Porojo umeteka wanaokuamini, umeandika mgazeti ambao hata mtoto aliyezaliwa leo angeandika.

Nikuamvie haujui kutunga chochote na upo hapa hapa nchini.

Yaani kweli hamna akili hivikutunga uongo ulioenda shule!?

Unasikitisha kuwa mtanzania na unatia aibu.

Na bado mtanyooka tu, muongo mkubwa wewe.

Hamumuwezi JPM na bado, mtasagia meno.

Duh na ndio maana umekuwa unakimbia kuquote watu unaojua wamo humu, utazidiwa akili ukijaribu kupinga. Ukawa unajibu wale uliowasoma humu ni wafata mikumbo.

Kwa sasa umejaribu, umefeli big time. Umeanzisha uzi kuchafua viongozi wetu, yale yale. Na umkome Mhe. Makonda

Na atawanyoosha haswa

Mfywuuuuuu
 
Mungu wangu
Aiseee
Hata Mimi kilini click kwenye akili
Kama hawakuwamaliza on sport na wameamua kuwaachia basi watakuwa wamekuwa poisoned ya kuwamaliza taratibu

Mungu wetu you have to do something kwa hawa watu wawili,tunakoelekea siko
 
naomba nitajie tafadhali hao viongozi wako unaowasema ambao umeona nikiwataja mahala popote pale katika maelezo yangu.
 
Mbona unapanic

Hajamchafua kiongozi yeyeto Bali viongozi ndio wanajichafua wenyewe

Unfortunately tumemuelewa vizuri sana tena kupita kiasi

Hata macho ya Nancy mke Wa Roma yalikuwa yanajieleza vizuri sana alivyokuwa akipata hasira kwa Roma kuongea uongo

Wewe ndio una wafuasi wawili tu

Next time waambie ma boss zako wachukue short course za utekaji ili uwe successful
 
majibu yako yote hapo nimeyajibu katika hayo maelezo na kama upo makini utaweza kumjua na kuhusu huyo dada kuwa anatoka wapi kwanza jiulize tu swali dogo kuwa hapo walipofanyia mazungumzo akina roma pako chini ya taasisi gani au hata mkuu wao anatoka taasisi gani na ukishindwa jiulize wafanyakazi wengi hapo wanatoka taasisi gani kisha utalipata jibu lako. sipo humu kutaja majina ya watu bali nawapeni tu mazingira kisha wenyewe mtajiongeza na kama kuna mtu anasubiri nitaje humu majina au ofisi au taasisi fulani nadhani atakuwa amekosea njia.

Wewe unaumia na kitu, dili halikukulipa vizuri umekuja kubwata humu.

Unataka kuchezea akili za nani, kusubiria press conf. Ndio utumie kuandika maajabu...ha ha haaaaa

Eti kusikia sauti, machozi alitoa ya furaha kuwa Mkuu wa Mkoa alitoa ahadi kuwaokoa kwa njia yoyote watekwa.

Ujue kutofautisha, mtu kuwa na furaha ya kutaka hata kulia.

Bila Mhe. Makonda watekwa wasingemaliza ka movie kao na wenzao. Aliyoyaongea mmetafsiri mengine kivyenu kujaribu kuungaunga na mkavizia. Kumbe mmegonga mwamba, watu wanajua gemu zaidi yenu wapo dk 5 mbele kudeal na nyie waovu mnaotaka kuchafua nchi hii.

Ni wakati umefika watu wengi zaidi waanze kuhojiwa sasa. Na bado

Mtanyooka tu
 
Mbona unapanic

Hajamchafua kiongozi yeyeto Bali viongozi ndio wanajichafua wenyewe

Unfortunately tumemuelewa vizuri sana tena kupita kiasi

Hata macho ya Nancy mke Wa Roma yalikuwa yanajieleza vizuri sana alivyokuwa akipata hasira kwa Roma kuongea uongo

Wewe ndio una wafuasi wawili tu

Next time waambie ma boss zako wachukue short course za utekaji ili uwe successful

laiti kama ningekuwa tanzania huko kwa sasa ningekutafuta mkuu nikupe angalau zawadi kwa kuzungumza jambo jema na la kujenga kabisa.
 
naomba nitajie tafadhali hao viongozi wako unaowasema ambao umeona nikiwataja mahala popote pale katika maelezo yangu.

roma ni kwanini ulipomwona mwakyembe anasikiliza ile sauti ya yule kiongozi katika simu ya mwandishi ukainama ghafla na ukawa unafuta machozi huku ukiwa na maumivu na amani yako pale ilitoweka ghafla

Wewe kuna kitu sikuelewi na hautaki kujitoa, nilikusoma sama ila unachofanya ni kuzidi kuweka wapenda udaku waamini wanayofikiria kuhusu viongozi wetu.

Unasahau ulisema ni wapi unatoa taarifa?

Unasahau ulishawahi kuleta uzi wa kumsifia kiongozi mmoja ambaye anatetemesha nchi?

Haya nichambulie hayo maneno yako hapo juu ya leo juu ya audio, kama unataka nikuelewe kivingine.

Nakupa ciao kwa sasa

Makonda oyeeee
 
Ha ha haaaaaaa

Porojo umeteka wanaokuamini, umeandika mgazeti ambao hata mtoto aliyezaliwa leo angeandika.

Nikuamvie haujui kutunga chochote na upo hapa hapa nchini.

Yaani kweli hamna akili hivikutunga uongo ulioenda shule!?

Unasikitisha kuwa mtanzania na unatia aibu.

Na bado mtanyooka tu, muongo mkubwa wewe.

Hamumuwezi JPM na bado, mtasagia meno.

Duh na ndio maana umekuwa unakimbia kuquote watu unaojua wamo humu, utazidiwa akili ukijaribu kupinga. Ukawa unajibu wale uliowasoma humu ni wafata mikumbo.

Kwa sasa umejaribu, umefeli big time. Umeanzisha uzi kuchafua viongozi wetu, yale yale. Na umkome Mhe. Makonda

Na atawanyoosha haswa

Mfywuuuuuu
Choko
 
Wewe unaumia na kitu, dili halikukulipa vizuri umekuja kubwata humu.

Unataka kuchezea akili za nani, kusubiria press conf. Ndio utumie kuandika maajabu...ha ha haaaaa

Eti kusikia sauti, machozi alitoa ya furaha kuwa Mkuu wa Mkoa alitoa ahadi kuwaokoa kwa njia yoyote watekwa.

Ujue kutofautisha, mtu kuwa na furaha ya kutaka hata kulia.

Bila Mhe. Makonda watekwa wasingemaliza ka movie kao na wenzao. Aliyoyaongea mmetafsiri mengine kivyenu kujaribu kuungaunga na mkavizia. Kumbe mmegonga mwamba, watu wanajua gemu zaidi yenu wapo dk 5 mbele kudeal na nyie waovu mnaotaka kuchafua nchi hii.

Ni wakati umefika watu wengi zaidi waanze kuhojiwa sasa. Na bado

Mtanyooka tu

naomba unisaidie hivi kumbe katika maelezo yangu yote ya kimaandishi humu nimemtaja huyo mkuu wako wa mkoa? halafu kama hutojali hebu tusaidie ni mkuu wa mkoa gani huyo unayemsemea wewe?
 
Mungu wangu
Aiseee
Hata Mimi kilini click kwenye akili
Kama hawakuwamaliza on sport na wameamua kuwaachia basi watakuwa wamekuwa poisoned ya kuwamaliza taratibu

Mungu wetu you have to do something kwa hawa watu wawili,tunakoelekea siko
Unachosema kinaweza kuwa kweli, unajua hakuna siri ya watu wengi, so kati yao lazima kuna mmoja au wawili wataongea tu, nanhili kuwadhibiti ndio hilo la slow poison laweza kuwa kweli, ngoja tuone hii move, nchi inatisha sana hii
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom