Mithali 29:11 mnahila nyingi moyoni mwa mtu lakini shauri la bwana ndilo litakalosimama ,Roma pole sana mungu hatakuacha mungu atasimamia u kweli shauri lake litasimama ktk machozi yanu mungu hatanyamaza kamwe ,watekaji watu 4kuficha siri haiwezekani!!the truth wil be out soon kwanza kupelekwa habari maelezo tayari nlishaona vumbi la u kweli kufichwa....Pole roma inatisha sana ukijaribu kuvaa kiatu jamani jamani[emoji22][emoji22][emoji22]