Roma Mkatoliki usiposema ukweli kesho, wakatoliki halisi tutausema Jumanne

Status
Not open for further replies.
Kama una guts mwaga hapa...kinyume Na hapo unatupotezeA muda.
 
Watu tulikuwa tunalalamika na kushutumiana kuwa Roma kaenda wapi kumbe wewe unajua kila kitu??? Sasa si ingetuambia mapema kabla hawajapatikana ili tuamini kuwa uliona kila kitu?
Angesema mapema ili ashamishwe? Au afanyiwe jambo lolote baya,tungepata wap ushahid kuwa alikua sehem fulan?
 
kuna muda unafika watu wanachoka halafu nafsi inakusuta kwa matendo unayolazimishwa kuyafanya. hali ni mbaya tanzania.
Kwa nilivyokufuatilia naona mnamtandao Mkubwa sana hapa nchini na wewe ni mmojawapo. Na ndo nyie mnaowaua viongoz WA serikali mkoa wa pwani
 
Mungu wangu Wa Israel

Aisee Lazima aseme ukweli

Na alikuwa anachechemea vibaya mno nilishangaa aliposema ni wazima kabisa

Roma inabidi useme ukweli,liwalo na liwe

Hivi huko mwananyamala hospital hamna chochote walichopewa au kuchomwa coz walikataa waandishi Wa habari wasiingie
 
USIMTAFTIE KIJANA WA WATU MATATIZO - ATASEMA AKIPENDA MAANA MWISHO WA SIKU KILA MTU HUBAKI MWENYEWE NA HUSIMAMA MWENYEWE SO HAKUNA HAJA YA KUFANYA KITU ILI KUUFURAHISHA UMMA
 
Yani mi bashite ishapanic

Roma sema ukweli tupu
 
Kwa nini una conclude kwa namna hii?
 
Duh kuna mtu kaliwa utumbo mpana? Chinekeeeee
 
Mkuu nasubiria ukweli wa mambo hiyo jumanne... Kuwa makini nawe usitekwe huko
 
We jamaa unatisha....
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…