Roma Mkatoliki usiposema ukweli kesho, wakatoliki halisi tutausema Jumanne

Roma Mkatoliki usiposema ukweli kesho, wakatoliki halisi tutausema Jumanne

Status
Not open for further replies.
nilichofanya ni kumtahadharisha tu huyo mkatoliki kuwa tunamtaka aseme ukweli huo ambao nimeuweka hapo na si kinyume. kamuulize au nenda eneo analoishi kisha uliza hapo mtaani kuna gari gani ambalo kila baada ya saa moja linapita hapo na kuna simu gani kapigiwa leo hii ( jumapili ) mida ya saa 5 mara baada ya kupokea simu za akina ruge na wakili wake? nikushauri tu mkuu kaa mbali kabisa wakati wa watanzania kunyanyaswa kwa maslahi ya majangili wawili sasa tunataka kuumaliza kabisa ili tanzania ile ya amani, usawa, haki na upendo irudi. na kama mpo karibu na huyo mkatoliki wenu mfikishieni hii taarifa kuwa ole wake kesho asiseme ukweli wote wakatoliki wenzake watausema jumanne na kuna uwezekano hata nchi ikasimama kidogo na dunia kushtuka kwa uonevu na ukatili ulioibuka tanzania.
Kama una guts mwaga hapa...kinyume Na hapo unatupotezeA muda.
 
Watu tulikuwa tunalalamika na kushutumiana kuwa Roma kaenda wapi kumbe wewe unajua kila kitu??? Sasa si ingetuambia mapema kabla hawajapatikana ili tuamini kuwa uliona kila kitu?
Angesema mapema ili ashamishwe? Au afanyiwe jambo lolote baya,tungepata wap ushahid kuwa alikua sehem fulan?
 
kuna muda unafika watu wanachoka halafu nafsi inakusuta kwa matendo unayolazimishwa kuyafanya. hali ni mbaya tanzania.
Kwa nilivyokufuatilia naona mnamtandao Mkubwa sana hapa nchini na wewe ni mmojawapo. Na ndo nyie mnaowaua viongoz WA serikali mkoa wa pwani
 
Mungu wangu Wa Israel

Aisee Lazima aseme ukweli

Na alikuwa anachechemea vibaya mno nilishangaa aliposema ni wazima kabisa

Roma inabidi useme ukweli,liwalo na liwe

Hivi huko mwananyamala hospital hamna chochote walichopewa au kuchomwa coz walikataa waandishi Wa habari wasiingie
 
Kesho tunataka kusikia yafuatayo..wale watu wawili waliokuja kukuhoji kwanini walikuwa hawakujui je walielekezwa na nani kwako?..mlipoingia ndani ya ile noah kwanini nyote mlifungwa vitambaa vichwani na mkaja kufunguliwa mlipoingizwa katika nyumba ya kwanza mikocheni na siku mbili baadae mkahamishiwa katika nyumba iliyopo Oysterbay..

Kwanini kati yenu wote ni wewe tu ndiyo uliyepigwa sana na virungu magotini huku ukikanyagwa kila mara mbavuni mwako na kuna wakati ukawekewa bastola kichwani ndipo ukaanza kunywea..ni kiongozi gani ambaye juzi usiku alikuja katika hiyo nyumba na kuzungumza nanyi kisha akawatishieni nyote..yule dada aliyekuwa akiongoza mateso yenu huku akiwa anawahoji na kuwarekodi anatoka katika taasisi gani..

Kiongozi gani aliomba kuongea na wewe jana asubuhi kabla hamjaondoshwa hapo oysterbay na kupelekwa polisi?

ole wako usiseme huu ukweli kesho.
USIMTAFTIE KIJANA WA WATU MATATIZO - ATASEMA AKIPENDA MAANA MWISHO WA SIKU KILA MTU HUBAKI MWENYEWE NA HUSIMAMA MWENYEWE SO HAKUNA HAJA YA KUFANYA KITU ILI KUUFURAHISHA UMMA
 
Yani mi bashite ishapanic

Roma sema ukweli tupu
 
Mkuu watu kama nyinyi ndio mnasababisha kina MaxMello kulazwa selo. Tuiheshimu JF, tuithamini, tusiibadili kuwa kijiwe cha kusakata porojo na udaku. We cannot afford losing this precious platform kwa upuuzi wa watu wachache.

Ndio hatumpendi/hatumtaki Baxhite, lkn this is too much.
Kwa nini una conclude kwa namna hii?
 
tena siyo kidogo na alikanyagwa mno mbavuni na kichwani na juzi ilibidi akandwe sana ili kuondoa uvumbe uliokuwa umemjaa usoni mwake. mkuu hayo niliyokuwekea hapo na madogo mno hao vijana wamefanyiwa mambo makubwa na hadi ya kudhalilishwa na nasita kuyaweka hapa kwa maslahi tu ya familia zao na dini zao. inauma na inasikitisha sana watu wawili wanaandaa mateso kwa watanzania kwa maslahi yao na kuwanyamazisha watu.
Duh kuna mtu kaliwa utumbo mpana? Chinekeeeee
 
masahihisho kidogo mkuu mtoa mada anaweza asiwe mmoja wa washiriki wa kilichotokea ila akawa na mtandao mpana na mkubwa wa kujua nini kinaendelea kule ambao siyo rahisi kwa watu wa kawaida kupajua. labda mkuu nikuulize swali dogo tu hivi kwa ufahamu wako umeshawahi kuona siri inayoshirikisha watu zaidi ya wawili isivuje? kumbuka pia kuwa hata kama kuna watesaji 100 ila ni lazima tu watakuwepo hata 15 ambao kibinadamu wameguswa na kuchukizwa na kilichofanyika.
Mkuu nasubiria ukweli wa mambo hiyo jumanne... Kuwa makini nawe usitekwe huko
 
nilichofanya ni kumtahadharisha tu huyo mkatoliki kuwa tunamtaka aseme ukweli huo ambao nimeuweka hapo na si kinyume. kamuulize au nenda eneo analoishi kisha uliza hapo mtaani kuna gari gani ambalo kila baada ya saa moja linapita hapo na kuna simu gani kapigiwa leo hii ( jumapili ) mida ya saa 5 mara baada ya kupokea simu za akina ruge na wakili wake? nikushauri tu mkuu kaa mbali kabisa wakati wa watanzania kunyanyaswa kwa maslahi ya majangili wawili sasa tunataka kuumaliza kabisa ili tanzania ile ya amani, usawa, haki na upendo irudi. na kama mpo karibu na huyo mkatoliki wenu mfikishieni hii taarifa kuwa ole wake kesho asiseme ukweli wote wakatoliki wenzake watausema jumanne na kuna uwezekano hata nchi ikasimama kidogo na dunia kushtuka kwa uonevu na ukatili ulioibuka tanzania.
We jamaa unatisha....
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom