Roma Mkatoloki Rudi tena kwenye mziki tuliou-miss

Roma Mkatoloki Rudi tena kwenye mziki tuliou-miss

boyson onlye

JF-Expert Member
Joined
Sep 13, 2015
Posts
1,108
Reaction score
1,397
Niaje mwanangu

Niko nimepata kafeeling cha kusikia ngoma Mpya ya mwamba Roma baada ya muheshimiwa ayati Manu kufariki Mange ailaze mahali pema peponi.

Nawaza baada. Ya mama kuweka mkwara wa watu kuwaacha huru watoe maoni Yao ghafla nimemkumbuka mshikaji aliyenifanya nipende hip hop ya bongo katika ngoma zake kama vile Tanzania, Mathematics, Mechi za ugenini n.k mshikaji popote ulipo mziki wako unaishi sana, sasa ni wakati wa kurudi Roma mkatoloki tunayekujua na uliyetutambulisha kwetu kuwa ww ni nani baada ya kubanwa na kutishwa sana kwa miaka sita mfululizo, Rudi mwamba Rudi achia mashine moja ya kutikisa nchi na viongozi wakae sawa.
 
Unamwambia mtu arudi sheria zikiwa ni zilezile huku mpango akisema atafuata sera za hayati, acha masiala mzee.
 
Yuko USA. Arudi Tz. Ama sivyo ataisha na kupotea kabisa katika usanii kama Emanuel Nkulila.
 
Back
Top Bottom