Roma Na Stamina (Rostam),Acheni kutembelea kiki ya Fiesta.

Jimmy De Lite

JF-Expert Member
Joined
Jun 10, 2019
Posts
635
Reaction score
2,321
Hey Mapeople,,,

Nimekuwa nikimfuatilia Roma na Stamina jinsi wanavyo Fanya mziki wao ni wazi kuwa wanafanya mziki kwa ajili ya Tigo fiesta na hawana malengo yoyote juu ya mziki wao.

Kama ni mfuatiliaji mzuri wa hawa wasanii wanao jiita ROSTAM ni wazi utakuwa umegundua hili,Mara nyingi wamekuwa wakisubiri Fiesta itangazwe ndo wanatoa ngoma,Na ngoma zao zote zilizo Fanya vizuri kidogo ni zile wanazo zitoa kipindi kama hiki cha Fiesta.

Ni wazi kuwa Roma na Stamina bila Fiesta hakuna lolote,Na Fiesta ikiisha huwezi kuwasikia tena mpaka msimu mwingine.

Clouds achaneni na wasanii kama hawa ambao hawana malengo na mziki wao,Nilitegemea mtu akipata show za fiesta iwe kama platform ya kumsogeza mbele kiaina.

Clouds pigeni chini Roma na Stamina ili akili iwakae sawa ,Haiwezekani wawe wana achia ngoma kipindi hiki kwa kuamini Zita pigwa sana.

#Jimmy-The-Inimitable.
 
Kila mtu afanye kazi yake kwa namna anayoona inafaa ili mradi tu hajaja kwako kukuomba pesa ya kula.

Kila mtu ale kuku wake.
 
Aisee kuna hatari ya vijana wa Tanzania miaka ijayo wakawa wachawi..na hii yote ni kutokana na roho mbaya wanazoziendekeza...Hivi mtu kufanya muziki kwa aina anayoona yeye inamlipa ni kosa?
siyo uchawi bro me nimeamua kuwatonya tu cz kuna Leo na kesho.
 
sasa wenyewe ndio wameona njia inayowalipa lakini wewe unawachoma kwa clouds..unataka wakale wapi?..Hiyo leo na kesho yao wanaijua wenyewe na huwezi jua labda wana mipango yao waliyoipanga kutokana na hicho wanachokifanya
Poa kaka.
 
Bila shaka wewe ndio uliyetajwa, Mariam unapika Biriani na bado unapakuliwa...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…