ROMA na STAMINA wana maana gani kufanya hivi?


After this act, hope you will also change your stand.
 

Roma na Stamina wametinga studio za clouds fm wamevaa jezi.

Jezi ya RomaMkatoliki Imeandikwa WEMA ya Stamina Imeandikwa ZARI.
.
Unadhani wana maana gani?

-Ndumilakuwili-
Simba VS Yanga ,CCM vs Chadema au Wanaofaidi mkate wa Baba Vs Wnaokula chini ya meza ya Baba

Politicaly utajua Roma anamaanisha nini
 
Mbona iko wazi...

Sikia tena Zimbabwe..
 
Simba na Yanga. Hizo ni mbinu tu ili wimbo ukiki.
 
Walizikuta dukani USA zikiwa na maandishi hayo! hhahahaha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…