PROF NDUMILAKUWILI
JF-Expert Member
- Mar 25, 2016
- 10,518
- 13,144
Roma na Stamina wametinga studio za clouds fm wamevaa jezi.
Jezi ya RomaMkatoliki Imeandikwa WEMA ya Stamina Imeandikwa ZARI.
.
Unadhani wana maana gani?
-Ndumilakuwili-
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
unachoamini sio sahihi kwasababu director wa hiyo video amesema hao wahusika wote kwenye video ni wanakijiji waliowakuta hapo location,
ikimaanisha kwamba huyo dogo aliyevaa t,shirt yenye jina la Diamond amevaa t.shirt hiyo in good faith na director kafanya yake in good faith.
Simba VS Yanga ,CCM vs Chadema au Wanaofaidi mkate wa Baba Vs Wnaokula chini ya meza ya Baba![]()
Roma na Stamina wametinga studio za clouds fm wamevaa jezi.
Jezi ya RomaMkatoliki Imeandikwa WEMA ya Stamina Imeandikwa ZARI.
.
Unadhani wana maana gani?
-Ndumilakuwili-
Wenyewe hawajasema kwann wamevaa hivyo??Unadhani wana maana gani?
ongea kisukuma sielewi kingereza
Siasa za udaku zishatuharibuTAFSIRI ULIVYOELEWA WEWE..
WABONGO MNAPENDA KUTAFSIRI, YANI MTU HATA AKIANDIKA JINA LAKE KWENYE T SHIRT YAKE MTAULIZA ANA MAANA GAN