ROMA na STAMINA wana maana gani kufanya hivi?

ROMA na STAMINA wana maana gani kufanya hivi?

Wanaleta siasa na wenzao wakileta siasa wataanza kulia ooh tunatekwa..naona ameshasahau kibano na kugalagazwa kwenye bwawa..kapona sasa
Kumbe kutekwa ni siasa, wajinga kama nyie mpo na mnaendelea kuwepo Tanzania, maendeleo itakuwa ndoto.
 
Mi nimeona mmoja amevaa mlegezo.......nadhani ndio R.O.M.A, kwa umri, elimu na nafasi yake kwenye jamii.....sijui kwanini anavalia nguo mapajani!

Si ajabu hiyo sarawili yake ina flaizi inchi tatu!
 
Kumbe kutekwa ni siasa, wajinga kama nyie mpo na mnaendelea kuwepo Tanzania, maendeleo itakuwa ndoto.
We mpuuzi sana..we unadhani unatekwa tu bila sababu..ili ukale ugali na watekaji au uka socialize??
 
46a8c0f3b5e15e199d6edeec7d22d9ec.jpg

Roma na Stamina wametinga studio za clouds fm wamevaa jezi.

Jezi ya RomaMkatoliki Imeandikwa WEMA ya Stamina Imeandikwa ZARI.
.
Unadhani wana maana gani?

-Ndumilakuwili-

Wanafuta Kutekwa na wenye hizo Mali mbili zenye thamani kubwa sana hapa Afrika ya Mashariki na Kati.
 
Upuuzi wa hali ya juu sana kuwahi kufanywa na Roma
 
Wenye akili wanajua alichokiimba Roma. Ukitazama kwa upande wa siasa

Siasa basi
 
Kuna wimbo wao wameachia unaitwa Hivi ama vile, ndani ya nyimbo kuna mistari inamzungumzia wema na zari pia kuna mistari inazungumzia simba na yanga ndio maana wamevaa kijani na nyekundu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom