D Didododi JF-Expert Member Joined Jul 21, 2023 Posts 347 Reaction score 465 Sep 24, 2024 #1 Wajumbe hawa jamaa mnawaonaje ukizingatia wanakimbiza maudhui zenye mrengo unaofanana.Unadhani nani anameno makali kuliko mwenzie kimaudhui?
Wajumbe hawa jamaa mnawaonaje ukizingatia wanakimbiza maudhui zenye mrengo unaofanana.Unadhani nani anameno makali kuliko mwenzie kimaudhui?
begi la pesa JF-Expert Member Joined Apr 11, 2019 Posts 1,124 Reaction score 1,946 Sep 24, 2024 #2 Nay wamitego sauti ya mamulaka