ContinousImprovement
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 290
- 272
Kisaikolojia Kamanda Sirro anapitia kipindi kigumu sana hasa Wakati huu wa Kwaresima. Alitaka kuwa padre wa kikatoliki na nafikiri aliimbiwa mpaka "Litaniae Sanctorum" (Litania ya Watakatifu). Hii ni sala ambayo mteule husaliwa kuomba usimamizi wa Mungu mwenyewe katika Utukufu, Malaika na Watakatifu wake katika kazi ya Utume wa Mungu. Hakufanikiwa kuwa padre kwa sababu za kifamilia lakini hii sala nafikiri aliondoka nayo na alipoingia kwenye kazi nyingine "takatifu" ya kulinda watu na mali zao aliapa kufanya hivyo kwa nguvu zake zote. Kwa hayo yote yanayotokea hapa Dar tumwombee azidi kuimarika katika haki kwa kuwa toka awali dhamira yake ni kumtanguliza Mungu katika nafasi yo yote ile anayoteuliwa. "Ad laudem Domini Iesu Christi"!Kama kweli kamanda sirro anatakiwa kuwajibishwa kwa kutoa Taarifa za uongo maana alikanusha kuwa hakuna kituo kinacho mshikiria, lakin kwa upande mwingine tumsamehe tu mzee wawatu kwa sababu mzee wawatu alikuwa msafi ila anatiwa najisi bila ridhaa hana namna mzee wawatu anapitia kipind kigumu sana sasa nadhana atakuwa anataman mda wa kustaafu ufike haraka ili kikombe hiki akihepuke.
Hawa jamaa are very smart. Wamepandikiza watu Kila mahala kuleta Confusion. Kila mtu anasema lake. Hakuna ajuae u kweli zaidi ya kina Roma. The rest we are to remain calm and have faith in time the truth will reveal it's self in cause of time.
Bashiteh ana akili sana. Mm nashangaa watu hunena jamaa kafeli uku hadi sasa hakuna mwenye akili kama yeye mkoa mzima.
Tanzania eeeeh nchi yangu eeeh mwanangu kuwa uyaone......
Bashite nouma, naskia alikuwa kamficha kwa Dada yake cocochanel ?
Tanzania eeeeh nchi yangu eeeh mwanangu kuwa uyaone......
TANZANIA NI NCHI MASIKINI SANA, WABUNGE WAMEKUWA WAMBEA NA MAJUNGU, WANAICHI WOTE WAMBEA MAJUNGU, TUJADILI MAMBO YA MAENDELEO TAIFA LETU MASIKINI KWA ELIMU NA KILA KITU. SABABU KUBWA ELIMU" HIVI KWELI JAY Z AKITEKWA CONGRESS NA TRUMP WAACHE MAMBO MUHIMU YA NCHI WAMJADILI JAY -Z ?. KUNA CIA, FBI, SWAT NA VITENDO VINGINE WANALIPWA KWA AJILI YA KAZI HIYO. ACHENI SIASA NAUAKIKI WOTE AMBAO MNAONGEA UMBEYA SHULE HAMJAENDA, HAMFANYI KAZI WALA BIASHA MPO MPO TUUUU. FANYENI KAZI ACHENI UJINGA .
Kachukue buku 7 yako Lumumba
Nakupongeza sana kwa hekima zako, uwezi amini kwamba baadhi ya Watanzania ni wazushi sana na waongo wa kutupwa!! Jaribu kupitia some comments zimejaa mambo ya mipasho tuu wanamtumbukiza mpaka RC wa Mkoa wa Dar, hawazungumzi chochote chenye substance uzushi tu 24X7. je, ikija gundulika kwamba kisa kizima na masuala yao binafsi au wamefanya hivyo kwa lengo la kutafuta publicity stunts mtajibu nini? Mkatoliki ana impact gani ndani ya Taifa letu mpaka mfikie hatua ya kujaribu kushutumu Dola - mkoje lakini?