Roma na wenzake wapatikana, wapelekwa Kituo cha Polisi Oysterbay kisha Mwananyamala Hosp na kuachiwa

Roma na wenzake wapatikana, wapelekwa Kituo cha Polisi Oysterbay kisha Mwananyamala Hosp na kuachiwa

Hawa jamaa are very smart. Wamepandikiza watu Kila mahala kuleta Confusion. Kila mtu anasema lake. Hakuna ajuae u kweli zaidi ya kina Roma. The rest we are to remain calm and have faith in time the truth will reveal it's self in cause of time.
 
Kwanza Roma usoni kuna alama flan hivi ambazo zinaashiria alipigwa sana,,,,,,,nq katika utembeaji wake huna matata........hata katika kukaaa....shida.....pia mwangalieni alivyoingia kwenye ile gar(noah)alikuwa anaficha uso.....that means usoni hayupo ok....daaah hii tanzania ye2 hii......tunakwenda wap...........

Sent from my TECNO-J5 using JamiiForums mobile app
 
Kama kweli kamanda sirro anatakiwa kuwajibishwa kwa kutoa Taarifa za uongo maana alikanusha kuwa hakuna kituo kinacho mshikiria, lakin kwa upande mwingine tumsamehe tu mzee wawatu kwa sababu mzee wawatu alikuwa msafi ila anatiwa najisi bila ridhaa hana namna mzee wawatu anapitia kipind kigumu sana sasa nadhana atakuwa anataman mda wa kustaafu ufike haraka ili kikombe hiki akihepuke.
Kisaikolojia Kamanda Sirro anapitia kipindi kigumu sana hasa Wakati huu wa Kwaresima. Alitaka kuwa padre wa kikatoliki na nafikiri aliimbiwa mpaka "Litaniae Sanctorum" (Litania ya Watakatifu). Hii ni sala ambayo mteule husaliwa kuomba usimamizi wa Mungu mwenyewe katika Utukufu, Malaika na Watakatifu wake katika kazi ya Utume wa Mungu. Hakufanikiwa kuwa padre kwa sababu za kifamilia lakini hii sala nafikiri aliondoka nayo na alipoingia kwenye kazi nyingine "takatifu" ya kulinda watu na mali zao aliapa kufanya hivyo kwa nguvu zake zote. Kwa hayo yote yanayotokea hapa Dar tumwombee azidi kuimarika katika haki kwa kuwa toka awali dhamira yake ni kumtanguliza Mungu katika nafasi yo yote ile anayoteuliwa. "Ad laudem Domini Iesu Christi"!
 
Hawa jamaa are very smart. Wamepandikiza watu Kila mahala kuleta Confusion. Kila mtu anasema lake. Hakuna ajuae u kweli zaidi ya kina Roma. The rest we are to remain calm and have faith in time the truth will reveal it's self in cause of time.

Nakupongeza sana kwa hekima zako, uwezi amini kwamba baadhi ya Watanzania ni wazushi sana na waongo wa kutupwa!! Jaribu kupitia some comments zimejaa mambo ya mipasho tuu wanamtumbukiza mpaka RC wa Mkoa wa Dar, hawazungumzi chochote chenye substance uzushi tu 24X7. je, ikija gundulika kwamba kisa kizima na masuala yao binafsi au wamefanya hivyo kwa lengo la kutafuta publicity stunts mtajibu nini? Mkatoliki ana impact gani ndani ya Taifa letu mpaka mfikie hatua ya kujaribu kushutumu Dola - mkoje lakini?
 
Tabia hizi kama hatukuwa makini itaangamiza Taifa hili.Inakithiri na kukuwa kadri siku zinavyokwenda.Hata hizi taarifa za matukio ya mauaji yanayoendelea inaweza kuwa ni kutokana na tatizo hilihili maana watu kuchukuliwa na kupelekwa kusikojulikana ipo sana maeneo hayo.Vyombo vyetu viwe makini ktk kutafuta suluhisho la matatizo kwa njia za wazi si hii ambayo inafanana na ujambazi.
 
Bashite nouma, naskia alikuwa kamficha kwa Dada yake cocochanel ?

Tatizo la sisi Watanzania kila mtu mwanasiasa na hili linatokana na kutokuwa na kazi za kufanya, na malezi mabaya toka serikali zetu zilizopita kila mtanzania mmbeya, na lingine HATUNA elimu (Life orientation/skills).TUNAAMKA ASUBUHI HATUJUI TUFANYE NINI WALA TUENDE WAPI SIKU YOYE INAKWISHA BILA YA KUFANYA LOLOTE MUHIMU KTK MAISHA ZAIDI YA UJINGA" MUNGU KATUPA MASAA 24 BULE BILA PESA " TOFAUTI YETU NA TAJIRI KAMA BILLGATE NI JINSI YA KUTUMIA MASAA 24 KWA SIKU.......KILA MTU ANANAFASI YAKE NA KILA KITU KINA WAKATI WAKE... FANYA KAZI, JIFUNZE KUTUKA WALIOFANIKIA ACHA UJINGA .
 
Tanzania eeeeh nchi yangu eeeh mwanangu kuwa uyaone......

TANZANIA NI NCHI MASIKINI SANA, WABUNGE WAMEKUWA WAMBEA NA MAJUNGU, WANAICHI WOTE WAMBEA MAJUNGU, TUJADILI MAMBO YA MAENDELEO TAIFA LETU MASIKINI KWA ELIMU NA KILA KITU. SABABU KUBWA ELIMU" HIVI KWELI JAY Z AKITEKWA CONGRESS NA TRUMP WAACHE MAMBO MUHIMU YA NCHI WAMJADILI JAY -Z ?. KUNA CIA, FBI, SWAT NA VITENDO VINGINE WANALIPWA KWA AJILI YA KAZI HIYO. ACHENI SIASA NAUAKIKI WOTE AMBAO MNAONGEA UMBEYA SHULE HAMJAENDA, HAMFANYI KAZI WALA BIASHA MPO MPO TUUUU. FANYENI KAZI ACHENI UJINGA .
 
Kachukue buku 7 yako Lumumba
 
Kachukue buku 7 yako Lumumba

siko bongo nilikuwa hapo xmas mwaka jana baada ya miaka 11.....ndio maana hamjielewi njoo MONACO uone dunia ilivyo sIO ujinga na upumbavu. NJOO UONE DUNIA NA JINSI GANI VIONGOZO WANAVYOTATUA MATATIZO YA WATU WAO KAMA NUSU YA PEPO" FANYENI KAZI ACHENI UJINGA NAUAKIKA HAPO UJALA NI UJUI UNAISHI VIPI " KIMBIA MBIO MBIO TAFUTA MAISHA ACHA UPUMBAVU WA WATANZANIA WEWE " ROMA NI MTU MDOGO SANA KWA WATANZANIA" TAIFA MBELE TUJADILI MAENDELEO NA TUONDOE VUMBI, MALARIA, FOLENI, TUWAPE WATOTO WETU ELIMU BORA
 
kila mtu anaaki ya kilindwa na taifa letu ndio maana tuna serikali tuwaache wausika wafanye hili sio kuingiza siasa.. tuaamke asubuhi tuende kazini, na kwenye biashara zetu, watoto waende shuleni... sio wabunge kupoteza muga na ujinga wajadili taifa letu kwanini masikini, tunashindwa wapi? majungua sio dili... inaonnyeshajinsi gani hawana uwezo wa kifikilia ndio maana bumge imejaa wasindikizaji, wanamuzik wasio na elimu hata kama wameenda shule na kufuta vyeti kwa ajili ya matumbo yao tu....hawajaelimika mtu aliye elimika anawafikilia watu wake kwanini masikini na wanamatatizo
 
Nakupongeza sana kwa hekima zako, uwezi amini kwamba baadhi ya Watanzania ni wazushi sana na waongo wa kutupwa!! Jaribu kupitia some comments zimejaa mambo ya mipasho tuu wanamtumbukiza mpaka RC wa Mkoa wa Dar, hawazungumzi chochote chenye substance uzushi tu 24X7. je, ikija gundulika kwamba kisa kizima na masuala yao binafsi au wamefanya hivyo kwa lengo la kutafuta publicity stunts mtajibu nini? Mkatoliki ana impact gani ndani ya Taifa letu mpaka mfikie hatua ya kujaribu kushutumu Dola - mkoje lakini?

@
Bukyanagandi
kweli kabisa mdogo wangu" nimegundua kuwa watu wataki "change" hawana elimu ya " change mgt".. viongozo waliopita wamealibu sana nchi yetu" mipasho, umbeya, madawa, uzembe na uvivu, hatutaki kazi tunataka raisi tu...angalioa wasanii wakibongo na vijana sasa hakuna dili wala ujanja wamebaki kurukaruka hawaezi kufiti ktk jamii wajibikaji ya raisi anayeona mbali " WAMEBAKI KUONGEA MATUSI NA KUSEMA WATU VIBAYA" WAULIZE WANAELIMU GANI WANAFANYA NINI KTK JAMII.................... ACHENI UJINGA HAPA KAZI TU....NCHI ZA WEZETU WANAFANYA KAZI MPAKA UNAOGOPA NA ELIMU NI BORA MAPAKA UNAOGOPA
 
Angepaswa kuonekana akiwa hai au mfu lakini sio lazima iwe kabla ya Jumapili kama watekaji walikuwa hawafahamiki majina wala malengo yao ya kumteka Roma. Maana wapo pia waliopotea kabla ya Roma lakini hawajapatikana hadi leo.
 
Back
Top Bottom