Andika vizuri uelewekeKwnz wanatbiw na nan?
UK walipo wapo salama wakilindw na nan ama hawalndwi?
Hy n mamb mhm yatakyotoa mwangaza wa kna Roma kuwez kutufkirsha km watasema chchte cha kwel
Anathubutu kufanya nini?Hivi huo uthubutu wa nape ni upi ukisikiliza yote ambayo ashayaongea kuna kipya alichokiongea?.tz ya sasa anaethubutu ni makonda tu.
Kuwataja wauza ungaAnathubutu kufanya nini?
Wewe zero yako ni zaidi ya DaudKuwataja wauza unga
Angalia video ya Ulimboka hapo juu alisema kila kitu.Asikwambie mtu wakikuteka wale watu hutokuja kusema hata siku moja! Hata siku moja, hapo kala vitisho vya kutosha. Unakumbuka Ulimboka? Uliwahi kusikia akisema lolote?
Roma ni mtanzania kama mimi na wewe.Alotekwa hashindwi kusema kweli msilete akili za kinyumbu ila uzuri wa tz wa leo si wajinga tunaelewa huu mchezo hautofika mwisho utagundulika.
Roma atekwe who is roma? kafanya kosa gani
Ukichimama nchale, ukinana nchale, ukichema utweli nchale.
Usiwatafutie matatizo wana wa wenzako, kama wakiamua kusema ni kwa hiyari yao na mustakbali wa maisha yao, Kwani Ulimboka ulishamsikia tena akisemasema? Hujui ugumu wa maisha.Kitendo chenu cha kuficha ukweli wa mambo ulivyo, eti kwa sababu ya mapatano na watekaji;
Mosi.
Huku kutakuwa ni kuwasariti wale walioshinikiza kuachiwa kwenu, na ni dhambi mbaya sana!
Pili.
Kitendo cha kuficha ukweli wa mambo ulivyo;
Huko kutakuwa ni kuridhia ndugu zenu na jamaa zenu waendelee kutendewa kama ninyi au zaidi yenu, yaani kupotezwa kabisa kama Ben.
Tatu.
Kitendo cha kuficha ukweli wa yale yaliyowakuta;
Huko kutakuwa ni kuiridhia dhambi ya watekaji.
Nne. kitendo cha kudanganya ili kuficha dhamira ya watekaji;
Huko kutakuwa ni kumkosea Mungu aliyewatoa katika makucha ya simba wenye uchu wa nyama zenu.
Mwisho.
Roma mkatoriki, mnamkumbuka Dr. Ulimboka?
Nani ajuae huenda angeweka ukweli wa mambo yaliyomkuta wazi leo msingekuwa wahanga wa haya!
Narudia.
Semeni ukweli ili kuwatia moyo watetezi wenu kusudi waendelee kuwapambania wengine.
Semeni ukweli maana wasema kweli ni wapenzi wa Mungu.
Madhara wanayajua ndio nasema usiwalazimishe kusema unachotaka wewe.Hujui madhara ya kulinyamazia hili?
Kunyamaza ni salama zaidi kuliko kuanzisha league ambayo ni wazi huwezi kuishinda. Fikiria mpaka mtu akuteke tena mkiwa zaidi ya mtu mbili na awapeleke anakojua yeye and then akuachieni kwa matakwa yake, hapo lazima utulie.Madhara wanayajua ndio nasema usiwalazimishe kusema unachotaka wewe.