barafuyamoto
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 32,378
- 29,739
Ni maisha yake, sio yako!kuficha ficha kulimcost mdada mmoja alikuwa anatoka nje ya ndoa yake sasa kunasiku guest akakutana na mpangaji mwenzake na ni best wa mme wake, jamaa kesho yake akaomba mchezo kwa kigezo kwamba akikataa kumpa anamwambia mmewe, bidada akatoa siku ya kwanza, sasa jamaa kujua kuwa weakness yake ni hyo ndo kila siku akawa jamaa anadai tu mwisho wa siku bidada aliandika barua nzito na kujiua.
msema ukweli na muwazi ni mtu huru siku zote hata kama ukweli utakugharimu lakini kuna muda utakuwa huru
Kama wewe unaujua ukweli si uuseme ?Kitendo chenu cha kuficha ukweli wa mambo ulivyo, eti kwa sababu ya mapatano na watekaji;
Mosi.
Huku kutakuwa ni kuwasariti wale walioshinikiza kuachiwa kwenu, na ni dhambi mbaya sana!
Pili.
Kitendo cha kuficha ukweli wa mambo ulivyo;
Huko kutakuwa ni kuridhia ndugu zenu na jamaa zenu waendelee kutendewa kama ninyi au zaidi yenu, yaani kupotezwa kabisa kama Ben.
Tatu.
Kitendo cha kuficha ukweli wa yale yaliyowakuta;
Huko kutakuwa ni kuiridhia dhambi ya watekaji.
Nne. kitendo cha kudanganya ili kuficha dhamira ya watekaji;
Huko kutakuwa ni kumkosea Mungu aliyewatoa katika makucha ya simba wenye uchu wa nyama zenu.
Mwisho.
Roma mkatoriki, mnamkumbuka Dr. Ulimboka?
Nani ajuae huenda angeweka ukweli wa mambo yaliyomkuta wazi leo msingekuwa wahanga wa haya!
Narudia.
Semeni ukweli ili kuwatia moyo watetezi wenu kusudi waendelee kuwapambania wengine.
Semeni ukweli maana wasema kweli ni wapenzi wa Mungu.
Duh! Hii yako Kali!ata kama walimfila unategemea watasema ukweli? Mpaka sasa anachechemea.
Greenquards bi mabingwa wakufila. Yani wakikifanya ivyo lazima wakuharbu kisaikolojia.
Mbona una wasiwasi na povu jingi ukitaka wasiseme! Kwani unahusika vipi?We jamaa kumbaffu sana, yaani mwenzio katoka ktk mental torture na hao watekaji wamewaacha kwa masharti kisha wewe unaeshinda mitandao unapiga kelele, watu ka nyie roma awapuuze afuate yake.
Shida yenu wabongo mnamiliki akili lakini matumizi mmewakabidhi wengine....unadhani yeye roma hana tumbo eeeeh!!Kitendo chenu cha kuficha ukweli wa mambo ulivyo, eti kwa sababu ya mapatano na watekaji;
Mosi.
Huku kutakuwa ni kuwasariti wale walioshinikiza kuachiwa kwenu, na ni dhambi mbaya sana!
Pili.
Kitendo cha kuficha ukweli wa mambo ulivyo;
Huko kutakuwa ni kuridhia ndugu zenu na jamaa zenu waendelee kutendewa kama ninyi au zaidi yenu, yaani kupotezwa kabisa kama Ben.
Tatu.
Kitendo cha kuficha ukweli wa yale yaliyowakuta;
Huko kutakuwa ni kuiridhia dhambi ya watekaji.
Nne. kitendo cha kudanganya ili kuficha dhamira ya watekaji;
Huko kutakuwa ni kumkosea Mungu aliyewatoa katika makucha ya simba wenye uchu wa nyama zenu.
Mwisho.
Roma mkatoriki, mnamkumbuka Dr. Ulimboka?
Nani ajuae huenda angeweka ukweli wa mambo yaliyomkuta wazi leo msingekuwa wahanga wa haya!
Narudia.
Semeni ukweli ili kuwatia moyo watetezi wenu kusudi waendelee kuwapambania wengine.
Semeni ukweli maana wasema kweli ni wapenzi wa Mungu.
Kitendo chenu cha kuficha ukweli wa mambo ulivyo, eti kwa sababu ya mapatano na watekaji;
Mosi.
Huku kutakuwa ni kuwasariti wale walioshinikiza kuachiwa kwenu, na ni dhambi mbaya sana!
Pili.
Kitendo cha kuficha ukweli wa mambo ulivyo;
Huko kutakuwa ni kuridhia ndugu zenu na jamaa zenu waendelee kutendewa kama ninyi au zaidi yenu, yaani kupotezwa kabisa kama Ben.
Tatu.
Kitendo cha kuficha ukweli wa yale yaliyowakuta;
Huko kutakuwa ni kuiridhia dhambi ya watekaji.
Nne. kitendo cha kudanganya ili kuficha dhamira ya watekaji;
Huko kutakuwa ni kumkosea Mungu aliyewatoa katika makucha ya simba wenye uchu wa nyama zenu.
Mwisho.
Roma mkatoriki, mnamkumbuka Dr. Ulimboka?
Nani ajuae huenda angeweka ukweli wa mambo yaliyomkuta wazi leo msingekuwa wahanga wa haya!
Narudia.
Semeni ukweli ili kuwatia moyo watetezi wenu kusudi waendelee kuwapambania wengine.
Semeni ukweli maana wasema kweli ni wapenzi wa Mungu.
Wabongo bana,tayari unamchimba mtu mikwara ukiwa na speculations zakoKitendo chenu cha kuficha ukweli wa mambo ulivyo, eti kwa sababu ya mapatano na watekaji;

Huyu ndo katekwa yule roma shavu dodo karud ...anajua kutekwa ulimboka anajua vemaMbona watu mnakari uongo? Nani kasema dr Ulimboka alificha? Angalia hii video jinsi alivyoelezea kila kitu tena akiwa mgonjwa.
Aisee watu ni hatari sana yaan wamemfanya hivyo binadamu mwenzao mpaka kaumukaMbona watu mnakari uongo? Nani kasema dr Ulimboka alificha? Angalia hii video jinsi alivyoelezea kila kitu tena akiwa mgonjwa.
So alijiteka?Alotekwa hashindwi kusema kweli msilete akili za kinyumbu ila uzuri wa tz wa leo si wajinga tunaelewa huu mchezo hautofika mwisho utagundulika.
Roma atekwe who is roma? kafanya kosa gani