Roma na Wenzako, Msithubutu kuwasaliti Wapiga Yowe Wenu!!

kuficha ficha kulimcost mdada mmoja alikuwa anatoka nje ya ndoa yake sasa kunasiku guest akakutana na mpangaji mwenzake na ni best wa mme wake, jamaa kesho yake akaomba mchezo kwa kigezo kwamba akikataa kumpa anamwambia mmewe, bidada akatoa siku ya kwanza, sasa jamaa kujua kuwa weakness yake ni hyo ndo kila siku akawa jamaa anadai tu mwisho wa siku bidada aliandika barua nzito na kujiua.

msema ukweli na muwazi ni mtu huru siku zote hata kama ukweli utakugharimu lakini kuna muda utakuwa huru
Ni maisha yake, sio yako!
 
Namwamini Roma na ukweli siku zote hukuweka huru. We believe in you Comrade.
 
ata kama walimfila unategemea watasema ukweli? Mpaka sasa anachechemea.

Greenquards bi mabingwa wakufila. Yani wakikifanya ivyo lazima wakuharbu kisaikolojia.
 
Roma aseme ukweli. Tupo tyar witness protection. Tutachanga pesa hata akaishi marekani.
 
Kitendo chenu cha kuficha ukweli wa mambo ulivyo, eti kwa sababu ya mapatano na watekaji;

Mosi.
Huku kutakuwa ni kuwasariti wale walioshinikiza kuachiwa kwenu, na ni dhambi mbaya sana!

Pili.
Kitendo cha kuficha ukweli wa mambo ulivyo;
Huko kutakuwa ni kuridhia ndugu zenu na jamaa zenu waendelee kutendewa kama ninyi au zaidi yenu, yaani kupotezwa kabisa kama Ben.

Tatu.
Kitendo cha kuficha ukweli wa yale yaliyowakuta;
Huko kutakuwa ni kuiridhia dhambi ya watekaji.

Nne. kitendo cha kudanganya ili kuficha dhamira ya watekaji;
Huko kutakuwa ni kumkosea Mungu aliyewatoa katika makucha ya simba wenye uchu wa nyama zenu.

Mwisho.

Roma mkatoriki, mnamkumbuka Dr. Ulimboka?

Nani ajuae huenda angeweka ukweli wa mambo yaliyomkuta wazi leo msingekuwa wahanga wa haya!

Narudia.
Semeni ukweli ili kuwatia moyo watetezi wenu kusudi waendelee kuwapambania wengine.
Semeni ukweli maana wasema kweli ni wapenzi wa Mungu.
Kama wewe unaujua ukweli si uuseme ?
 
Hali inayiwakabili hao wahanga Roma Mkatoliki na wenzake inaitwa "Stockholm Syndrome"
Iko tiba ya tatizo hilo na kupitia JF wwnaweza kupata tiba wakapona kabisa.
 
We jamaa kumbaffu sana, yaani mwenzio katoka ktk mental torture na hao watekaji wamewaacha kwa masharti kisha wewe unaeshinda mitandao unapiga kelele, watu ka nyie roma awapuuze afuate yake.
Mbona una wasiwasi na povu jingi ukitaka wasiseme! Kwani unahusika vipi?
 
Kitendo chenu cha kuficha ukweli wa mambo ulivyo, eti kwa sababu ya mapatano na watekaji;

Mosi.
Huku kutakuwa ni kuwasariti wale walioshinikiza kuachiwa kwenu, na ni dhambi mbaya sana!

Pili.
Kitendo cha kuficha ukweli wa mambo ulivyo;
Huko kutakuwa ni kuridhia ndugu zenu na jamaa zenu waendelee kutendewa kama ninyi au zaidi yenu, yaani kupotezwa kabisa kama Ben.

Tatu.
Kitendo cha kuficha ukweli wa yale yaliyowakuta;
Huko kutakuwa ni kuiridhia dhambi ya watekaji.

Nne. kitendo cha kudanganya ili kuficha dhamira ya watekaji;
Huko kutakuwa ni kumkosea Mungu aliyewatoa katika makucha ya simba wenye uchu wa nyama zenu.

Mwisho.

Roma mkatoriki, mnamkumbuka Dr. Ulimboka?

Nani ajuae huenda angeweka ukweli wa mambo yaliyomkuta wazi leo msingekuwa wahanga wa haya!

Narudia.
Semeni ukweli ili kuwatia moyo watetezi wenu kusudi waendelee kuwapambania wengine.
Semeni ukweli maana wasema kweli ni wapenzi wa Mungu.
Shida yenu wabongo mnamiliki akili lakini matumizi mmewakabidhi wengine....unadhani yeye roma hana tumbo eeeeh!!
 
Kitendo chenu cha kuficha ukweli wa mambo ulivyo, eti kwa sababu ya mapatano na watekaji;

Mosi.
Huku kutakuwa ni kuwasariti wale walioshinikiza kuachiwa kwenu, na ni dhambi mbaya sana!

Pili.
Kitendo cha kuficha ukweli wa mambo ulivyo;
Huko kutakuwa ni kuridhia ndugu zenu na jamaa zenu waendelee kutendewa kama ninyi au zaidi yenu, yaani kupotezwa kabisa kama Ben.

Tatu.
Kitendo cha kuficha ukweli wa yale yaliyowakuta;
Huko kutakuwa ni kuiridhia dhambi ya watekaji.

Nne. kitendo cha kudanganya ili kuficha dhamira ya watekaji;
Huko kutakuwa ni kumkosea Mungu aliyewatoa katika makucha ya simba wenye uchu wa nyama zenu.

Mwisho.

Roma mkatoriki, mnamkumbuka Dr. Ulimboka?

Nani ajuae huenda angeweka ukweli wa mambo yaliyomkuta wazi leo msingekuwa wahanga wa haya!

Narudia.
Semeni ukweli ili kuwatia moyo watetezi wenu kusudi waendelee kuwapambania wengine.
Semeni ukweli maana wasema kweli ni wapenzi wa Mungu.

Kwako ukweli ni upi. Kama tayari Uko prejudiced. Sasa Kwanini usisem tu we ukweli. Tuambie dada
 
Kitendo chenu cha kuficha ukweli wa mambo ulivyo, eti kwa sababu ya mapatano na watekaji;

Mosi.
Huku kutakuwa ni kuwasariti wale walioshinikiza kuachiwa kwenu, na ni dhambi mbaya sana!

Pili.
Kitendo cha kuficha ukweli wa mambo ulivyo;
Huko kutakuwa ni kuridhia ndugu zenu na jamaa zenu waendelee kutendewa kama ninyi au zaidi yenu, yaani kupotezwa kabisa kama Ben.

Tatu.
Kitendo cha kuficha ukweli wa yale yaliyowakuta;
Huko kutakuwa ni kuiridhia dhambi ya watekaji.

Nne. kitendo cha kudanganya ili kuficha dhamira ya watekaji;
Huko kutakuwa ni kumkosea Mungu aliyewatoa katika makucha ya simba wenye uchu wa nyama zenu.

Mwisho.

Roma mkatoriki, mnamkumbuka Dr. Ulimboka?

Nani ajuae huenda angeweka ukweli wa mambo yaliyomkuta wazi leo msingekuwa wahanga wa haya!

Narudia.
Semeni ukweli ili kuwatia moyo watetezi wenu kusudi waendelee kuwapambania wengine.
Semeni ukweli maana wasema kweli ni wapenzi wa Mungu.
Wabongo bana,tayari unamchimba mtu mikwara ukiwa na speculations zako
 
Mbona watu mnakari uongo? Nani kasema dr Ulimboka alificha? Angalia hii video jinsi alivyoelezea kila kitu tena akiwa mgonjwa.

Huyu ndo katekwa yule roma shavu dodo karud ...anajua kutekwa ulimboka anajua vema
 
You expect him to endanger his life simply because of instagram /JF idiots,
 
Back
Top Bottom