Roma na Wenzako, Msithubutu kuwasaliti Wapiga Yowe Wenu!!

Asikwambie mtu wakikuteka wale watu hutokuja kusema hata siku moja! Hata siku moja, hapo kala vitisho vya kutosha. Unakumbuka Ulimboka? Uliwahi kusikia akisema lolote?
Ulimboka alisema mengi tu, labda ulikosa maskio ya kumckiliza...au ulikua busy kutafuta mkate wako....ila nachoshangaa alichosema Ulimboka sijui kimezaa impact gan kwa nchi yenye miungo watu na wananchi watumwa ... Zaidi zaidi Ulimboka ndo kapotea kabsa masikini ya Mungu...too sad. Ila kila mtu siku zake zinahesabika, Walikuwepo wakina Hitler bana.
 
Kwnz wanatbiw na nan?
UK walipo wapo salama wakilindw na nan ama hawalndwi?
Hy n mamb mhm yatakyotoa mwangaza wa kna Roma kuwez kutufkirsha km watasema chchte cha kwel


Embu andika vizuri, huku sio facebook mkuu
 
Roma ashalegezwa tusitegemee jipya kutoka kwake, inshort huu ndio mwisho wake kisanii. Sasa hivi sijui ataimba nini raia wamuelewe. Atafute kazi nyingine ya kufanya sasa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…