Vieloon
JF-Expert Member
- May 5, 2012
- 1,520
- 694
Ulimboka alisema mengi tu, labda ulikosa maskio ya kumckiliza...au ulikua busy kutafuta mkate wako....ila nachoshangaa alichosema Ulimboka sijui kimezaa impact gan kwa nchi yenye miungo watu na wananchi watumwa ... Zaidi zaidi Ulimboka ndo kapotea kabsa masikini ya Mungu...too sad. Ila kila mtu siku zake zinahesabika, Walikuwepo wakina Hitler bana.Asikwambie mtu wakikuteka wale watu hutokuja kusema hata siku moja! Hata siku moja, hapo kala vitisho vya kutosha. Unakumbuka Ulimboka? Uliwahi kusikia akisema lolote?