ROMA ni Msanii wa ovyo. Aambiwe maua wanapewa wanawake

Hapo mwenyewe ndio umefikiria hadi mwisho?
 
Ndiyo hivyo yeye ameshaimba na wewe usiyemwelewa/usiyempenda umeshaanzisha uzi wa kumdiscuss na yeye amepata tena attention toka kwa mtu kama wewe usiyemwelewa/usiyempenda....another day another milestone for him.... Life goes on....
Mchungaji akikemea pepo huwa analipa attention?
 
kuna ambao walisema hata CCM ikiweka jiwe kwenye uchaguzi litachaguliwa....
Hakuona ni shida hapo?
 
Wewe ndo msanii wa hovyo uliobebwa na ajenda za kutetea wanawake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yani katika wasanii wote bongo Roma ni my favorite artist….πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’
 
Mnafanana akili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…